Umeanza vizuri umeharibu mwishoni kwa kuweka neno lazimaView attachment 3446127View attachment 3446130View attachment 3446131
Lengo la kuweka Jambo hili hapa JF ni kukumbusha kwamba hakuna mkubwa kuliko Mahakama na kwamba ukiitwa kutoa ushahidi ni lazima ufike.
Soma hapaUmeanza vizuri umeharibu mwishoni kwa kuweka neno lazima
Upo sahihi!Hakuna Ujanja mbele ya Mahakama
Mkuu unajua kila General rule huwa ina exceptions? Pia unajua pia kuna watu huwa wanakuwa immuned na criminal proceedings?
Lete kifunguMkuu unajua kila General rule huwa ina exceptions? Pia unajua pia kuna watu huwa wanakuwa immuned na criminal proceedings?
Tatizo hana upeo wa akili wa kujibu hoja. Keshazoea kukaririshwa hotuba na kutoa vijembe kama muimba taarab.
Akikutana na mtiti wa Lissu atapanic, aanguke, afilie mbali.
Kumbuka alivyohojiwa na Kikeke kipindi yupo BBC, kidogo tu alitoka upepo.
Sawa kila Rais ana mapungufu yake, ila uharibifu alioufanya Magufuli legacy yake inaishi sanaUharibifu na mambo mengi ya kihuni yanayoendelea sasa yameasisiwa na Kikwete. Hii ni pamoja na utekaji. Akina Ulimboka walikuwa ni Wahanga wa mwazo kabisa.
Criminal Procedure Act, cap 20 R. E 2023, sio 2002
AsanteCriminal Procedure Act, cap 20 R. E 2023, sio 2002
Zamà n tulikuwa na viongozi wenye akili sanaNa mwamba alienda kumaliza kesi hiyo iliyojaa fitna na majungu
Mkapa kimtindo alikuwa mwamba hana mambo ya uchawa + upambe
Ova
Ipitie vizuri sheria ya ushahidi panapozungumzia COMPETENCY, COMPELLABILITY AND PRIVILEGE OF WITNESSES.Lete kifungu
Nasubiria jibu 👆Kwani shahidi hana haki kukataa kufika mahakamani?
Mahakama za Tanzania zipo jela zimeshikiliwa na chama tawala kupitia Mwenyekiti!!Hakuna Ujanja mbele ya Mahakama