Zuella zuu
Senior Member
- Jan 1, 2026
- 184
- 382
kwamba nayeye ataenda?
Katiba hairuhusu.Sema Mkapa naye kiherehere chake tu hakutakiwa kwenda
Usiandike ili uonekane na wewe upo humu unaandika vitu bila ushahidi.B.Mkapa was Christian, na hiyo ndiyo tofauti kati ya Christians vs Muslims, wakati mulsims umwinyi ndiyo falsafa yao i.e aliye juu anakandamiza na aliye chini, Christians wanafundishwa humility au kujishusha hata kama una power na privilleges lkn bado ni binadamu kama wengine tu made of flesh and blood ...
So What?Yule alikuwa Balozi na sio mhaini kama huyo Lisu.
Ndio tunamuandalia hapaSamia Suluhu nae apelekewe wito
Na kikwete akapata aibuNa mwamba alienda kumaliza kesi hiyo iliyojaa fitna na majungu
Mkapa kimtindo alikuwa mwamba hana mambo ya uchawa + upambe
Ova
Mkuu hapo kumbuka Mkapa alikua ayupo madarakani, pia alitaka yeye kama yeye nasio kua mahakam ilimtumia summons ya lazma bali lilikua ombi la mahakama.Tofautisheni hivi vituHakuna Ujanja mbele ya Mahakama
Alitajwa na Mahalu akapelekewa wito, akaapishwa na Wakili wa Utetezi Alex MgongolwaMkuu hapo kumbuka Mkapa alikua ayupo madarakani, pia alitaka yeye kama yeye nasio kua mahakam ilimtumia summons
Daah,View attachment 3446127View attachment 3446130View attachment 3446131
Lengo la kuweka Jambo hili hapa JF ni kukumbusha kwamba hakuna mkubwa kuliko Mahakama na kwamba ukiitwa kutoa ushahidi ni lazima ufike.
Ni lazima athibitishe Uhaini wa LissuDaah,
Kwa hiyo mama ajiandae kisaikolojia
Kisa "ke"!Kesi hiyo ilitungwa na Kikwete
Ndio kama ya Babu SeyaKisa "ke"!