Picha: Rais Benjamin Mkapa akiingia Mahakamani kutoa Ushahidi kwenye kesi ya Ufisadi iliyowakabili Costa Mahalu na Grace Martin

Hizi hizi za mchongo? Kipindi cha Kikwete na Mkapa kidogo mahama ziliheshimiwa, ila baada ya Magufuli kuingia aliigeuza majaji kuwa machawa wa serikali na imebaki hivyo hadi leo

Uharibifu na mambo mengi ya kihuni yanayoendelea sasa yameasisiwa na Kikwete. Hii ni pamoja na utekaji. Akina Ulimboka walikuwa ni Wahanga wa mwazo kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…