Tuletee ya Rais aliyekua madarakani unaleta kesi ya mtu anaenda kisutu na na Mlinzi mmoja ameshastaafu?Kesi hiyo ilitungwa na Kikwete
Hujui kituTuletee ya Rais aliyekua madarakani unaleta kesi ya mtu anaenda kisutu na na Mlinzi mmoja ameshastaafu?
Hii Kesi ni kubwa sana kubwa kuliko ya Lieutenant Zakaria Hanspope na wenzake kwanza ilisikilizwa na Judge mmoja hii ina majaji 03
Wewe unayejua Tuletee ya Rais aliyekua madarakani! Umeshabadilisha Pedi kwanza?Hujui kitu
Nilijua ukizidiwa utaanza matusiWewe unayejua Tuletee ya Rais aliyekua madarakani! Umeshabadilisha Pedi kwanza?
We ht akili ya kuazima huna, huo mwaka 2012 Mkapa alishastaafu miak 7 iliyopita. Mkapa alistaafu mwaka 2005. Hata hivyo hakuitwa kwa summons alienda kwa hiari yake kumsaidia rafiki yake Costa Mahalu! Nyie Rais wa nchi yetu siyo km hao malaya zenu kina Rose Mayemba, Hilda Newton, Maria Sarungi.View attachment 3446127View attachment 3446130View attachment 3446131
Lengo la kuweka Jambo hili hapa JF ni kukumbusha kwamba hakuna mkubwa kuliko Mahakama na kwamba ukiitwa kutoa ushahidi ni lazima ufike.
Nimekudharau sanaWe ht akili ya kuazima huna, huo mwaka 2012 Mkapa alishastaafu miak 7 iliyopita. Mkapa alistaafu mwaka 2005. Hata hivyo hakuitwa kwa summons alienda kwa hiari yake kumsaidia rafiki yake Costa Mahalu! Nyie Rais wa nchi yetu siyo km hao malaya zenu kina Rose Mayemba, Hilda Newton, Maria Sarungi.
Jibu hojaNimekudharau sana
Mwenyewe kapost hapo bandiko lake Linaonesha Rais Mstaafu.Jibu hoja
Wakati huo akiwa Rais? Je,summons asingeitii angefuatwa kwa lazma? Makamanda tupunguze kujua kila kitu itatusaidia sanaAlitajwa na Mahalu akapelekewa wito, akaapishwa na Wakili wa Utetezi Alex Mgongolwa
Hakuna shahidi anayejipeleka Mahakamani
Ni wapi pameeandikwa Rais hapelekewi summons?Wakati huo akiwa Rais? Je,summons asingeitii angefuatwa kwa lazma? Makamanda tupunguze kujua kila kitu itatusaidia sana
Nadhani wewe ndio hujaelewaMwenyewe kapost hapo bandiko lake Linaonesha Rais Mstaafu.
Kafikiria sisi ni manyumbu wenzake hatutasoma tutakurupuka tu.
Wewe ni poyoyo hujui kitu. Kaa kimyaTuletee ya Rais aliyekua madarakani unaleta kesi ya mtu anaenda kisutu na na Mlinzi mmoja ameshastaafu?
Hii Kesi ni kubwa sana kubwa kuliko ya Lieutenant Zakaria Hanspope na wenzake kwanza ilisikilizwa na Judge mmoja hii ina majaji 03
Rais anapelekewa ombi nasio summon.. Tukisoma Presidential Affairs Act 2023 tutaelewa mkuuNi wapi pameeandikwa Rais hapelekewi summons?
Hatoboi!Rais anapelekewa ombi nasio summon.. Tukisoma Presidential Affairs Act 2023 tutaelewa mkuu
Au lile la monduli lililo sababisha akatembea kwa miguu mpaka maji ya chai .Kikwete majungu ni asili yake. Zengwe alilompiga Dr. Salim 2005 ndiyo picha yake halisi.
AiseeeeAu lile la monduli lililo sababisha akatembea kwa miguu mpaka maji ya chai .