Picha:Rais Kikwete afuturisha wasanii ikulu

Status
Not open for further replies.
Sijamuona Profesa Jay!!! Atakua anajuta sana kwa kujiunga na Chadema
 
Mimi ni muislam ila kwa hili siwezi kusapoti, kuna waislam wengi sana wanafunga hawajui watafuturu nini kwanini asiwafutarishe hao akaamua kuchukua watu wenye uwezo? pili mbona wengine ni kama wakristo eg. crazy GK n AY inAMAANA HAO PIA WAMEFUNGA? nafikiri angesubiri mfungo uishe angewakaribisha dinner
 
Badala ya kuwakaribisha wenye viwanda,wakulima wakubwa,wafugaji,wataalam wamshauri yeye anakutana na wabeba unga
 
Strategy nzuri ya maandalizi ya Kampeni wakati utakapofika 2015. Hao wakikuunga mkono na kukuimba vizuri ujumbe unafika haraka.
 
Badala ya kuwakaribisha wenye viwanda,wakulima wakubwa,wafugaji,wataalam wamshauri yeye anakutana na wabeba unga
 

Neno baada ya neno safi mkuu nadhani kwa elimu hii ubongo wake utaacha kufikiria makapi tena..
 

U have a point bro!

1. Futari ingeonyesha upendo kwa wote bila ubaguzi

2.Inavyoonekana imebase kwenye station moja tu

3. Kutokuwepo kwa waasisi wa mziki wa kizazi kipya kama prof jay,jay dee,nature,sugu,afande sele ni wazi haileti picha nzuri

4.Hii inaonekana kabisa imeandaliwa na radio station flan

It is not good for a president kuingilia ugomvi btn wasanii na radio station!

M sure kikwete hao wasanii wakubwa walioachwa anawajua vizuri na mchango wao katika jamii

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Strategy nzuri ya maandalizi ya Kampeni wakati utakapofika 2015. Hao wakikuunga mkono na kukuimba vizuri ujumbe unafika haraka.

Kumbe JK bado yupo katika Kampeni?Lakini sishangai kwani JK amekuwa busy na Kampeni badala ya kuongoza kwa muhula wote wa kwanza.Nikadhani baada ya Uchaguzi wa 2010 sasa ataanza kutuongoza nahisi nilikosea kumbe mwenzetu Kampeni hazijaisha?
 

Umenikumbusha dah!
 
bongo fleva na Ramadhan?hii mbona maajabu mengine..Mkuu hata Dini yake haijui?..sina tatizo kama angewaalika kipindi tofauti na ramadhan.na pia sio bongo fleva peke yake wasanii wote kwa ujumla.ameonyesha ubaguzi wa wazi kabisa..bora andelee kula kuliko kujitesa na njaa..afadhali hata mengi huwa anaonyesha mfano kula na walemavu..tena kila mwaka...bora upigwe tu na pk huna akili..
 
Jaydee,j nature,prof jay,afanxe sele na sugu cjawaona hapo
 

Sasa Kama walialikwa na hawakuja JK angewafuata majumbani Kwao? Hata ukiwa muasisi lakini huonyeshi uasisi wako sisi tufanyaje? Hata hao waasisi sasa wengi wao hawana tena mvuto Mbele ya jamii....
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…