Picha:Rais Kikwete afuturisha wasanii ikulu

Picha:Rais Kikwete afuturisha wasanii ikulu

Status
Not open for further replies.
mkuu sidhani kama anastahili pongezi,angeita watoto yatma ambao hawawez kufuturu na sio wasanii ambao hutumia make up za 1000000

Hamkosi cha kusema hata angeita hao mayatima mngesema ni kiini macho; yatima kawafuturishe wewe kwani umekatazwa??????
 
kikwete hanaga kazi ya kufanya anashusha hadhi ikulu. naona hadi hao wavuta bangi wanaingia ingia. enzi za mkapa ilieshimika. siyo kwa huyu msanii
 
Ni mfano wa kuigwa na kupongezwa pale Rais wetu anapowakumbuka wasanii na kupata muda wa kuongea nao pamoja na uwepo wa majukumu mengi kikazi.

Wasanii mbali mbali na watangazaji walipata kualikwa ikulu jijini Dar, kwa ajili ya kuftari na Mh Raisi pamoja na familia yake.mara baada ya kuftari Mh Kikwete aliongea mawili matatu ikiwa ni pamoja na kuwapa moyo wasanii kwa kuendeleza sanaa maana hata yeye anapenda kusikiliza miziki yao

B12

Fetty

Dj Mully B



Jafarai na inspector Haroon

Qchief na Babu Tale



Mwasiti, Fetty na Shilole

Chege, Nyandu Tozi na Madee

Kassim Mganga

Adama Mchomvu

Ben Pol (wa pili kutoka kulia)

Linex (wa kwanza kulia)







Looking good MashAllah, TID, Jafarai na Z Anto


Mzee mkorofi, Suma Lee


hahahaa Mbwiga nae hakukosa

Shekh AY na Ali Kiba

Marlow na Sam Misago


Feruz na Fela

Lamar na P Funk

Quick kama sio yeye loooool








Hemedi Phd

Adama Juma

Dogo Asley


King Crazy GK


Shilole



 
huyu rais yenyu watu wa tz, haiko serious. yeye badala ya kufanya vitu yenye itawaletea maendelo, yeye yuko kwa kutembea na kucheka kwa picha
 
Yuko na Punda zake anawashukuru kwa kupitisha sembe vizuri kutoka Pakistan to China via TZ.
 
Anaconda na Prof Jay Haule MC Shupavu hawakualikwa na vile sio Punda wa kubeba Sembe za Riziwani. Naona Team Ruge ilihusika kugawa mialiko maana msanii nguli kuliko wote Mr Sugu angekuwepo kuwaonyesha vijana njia but kwa vile ni mpinzani kisiasa asije ikulu.
 
'no comment...............japo nna mengi ya kuongea,aya bwn'
 
Hamkosi cha kusema hata angeita hao mayatima mngesema ni kiini macho; yatima kawafuturishe wewe kwani umekatazwa??????

simpendagi sana mtu aliekaa kisharishari,hata ukimwambia kistaarabu yeye hujib kwa shari..
 
jamani naomba mnijuze,hivi B12 na mnyama T.id ni matwins? huwa napata wakati mgumu kuwatofautisha.
 
ikulu ni mahali patakatifu......ama kweli mwalimu aliona mbali
 
Wengi wao ikifika 2015 watatumiwa ktk kampeni za chama tawala for the sake of 2013 iftar.

Nilitaka kucomment lakini nimekutana na hii nikaona niache kwa sababu umeshasema nilichotaka kusema. Naomba lift

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Mamndenyi utasubiri sana aisee. Haitatokea

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Last edited by a moderator:
mmmmmmmmm madame mbona wa kristo wapo tena wengi.adamu mchovu,ambwene isaya,b 12,marlow na wengine wengi..ushaanza kutia udini mama la mamaaa acha hizo bana

Nimeuliza.....sijui wasanii wote hasa wale walioachia chati zamani...lol
 
Pamoja sana mwanadiwani kwa sasa hatudanganyiki hata wakifanya nini chadema janja yao tushaijua.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom