..Kikwete na Magufuli ndio waliopata uongozi nchi ikiwa stable kiuchumi na ikiwa na budgetary flexibility ya kutekeleza vipaumbele vya nchi.
..Ukiangalia miradi ya Magufuli kama ujenzi wa makao makuu Dodoma, na ununuzi wa ndege, ni miradi gharama kubwa sana kwa uchumi mzima wa Tanzania.
..Unajiuliza what if badala ya kujenga maofisi na majumba ya kifahari Dodoma, angeelekeza fedha hizo kwenye sekta za zabibu, alizeti, na mifugo, hapo Dodoma, matumizi hayo yangeinua maisha ya wananchi wangapi?
..Pamoja na trillion 2 tulizotumia kununua ndege bado kila mwaka inabidi tubebe mzigo wa hasara ambayo ni billions of shillings.
..Kwa hiyo kwa Kikwete tulipata hasara kutokana na ufisadi, kwa Magufuli tulipata hasara kwa matumizi ya fedha yasiyo na busara.