Tumia akili zaidi kufikiria sio ukada kada.
Unajua bei ya kuagiza VW mpya? Hata kutoka Germany ama South Africa assembled VW. ??? Na kwanza ni watanzania wangapi wananunuaga magari brand new kama sio second hand [emoji3451] aka mtumba!?
Rwanda penyewe wanastrugle nani wa kumuuzia, wanategemea serikali na balozi mbali mbali na si mwananchi wa kawaida ambapo wanataka kupunguza umri wa kuagiza magari hadi ufikie miaka minne ili kushawishi wananchi wanunue tu hata kwa bei kubwa kama ilivyo Ethiopia na viwanda vyao vya ndani vya magari.
Ukinunua VW mpya Rwanda ni zaidi ya $10,000 zaidi ya ukiagiza Germany. Na VW za Rwanda ni gharama kuliko za South Afrika plus za Kenya (ambako walikua na kiwanda miaka ya nyuma na wamekifufua tena) na hapo kabla ya kodi ya kuzifikisha bongo. Hii ni kutokana na gharama ya kutoa CKD South Africa by sea zipitie Mombasa Port then Kigali by road...,Rwanda sio kiwanda cha uzalishaji bali ni kiwanda cha kuunganisha (CKD)
To conclude halafu RWANDA SIO NDUGU zetu ni majirani zetu.....
Sent from my SM-G9350 using
JamiiForums mobile app