KalamuTena
JF-Expert Member
- Jul 7, 2018
- 13,187
- 17,167
Bado ninahitaji kuelemishwa mkuu kwa suala hilo la Rwanda kuwa na uchumi mkubwa kuzidi maeneo kama hayo ya nchi yetu, pamoja na kwamba, huenda Katiba yetu ni sehemu ya tatizo hilo.
Huu ndio mjadala hasa unaoweza kutupatia jibu sahihi juu ya swala la Rwanda kuwa na uchumi mkubwa kuizidi kanda nzima ya Ziwa.1. Waliua viwanda ili wachuuze bidhaa zao kutoka china na India.
2. Waliua reli ili magari yao ya mzigo, abiria na matank ya mafuta yasafirishe bidhaa hizo.
3. Wanaweka vipaumbele kwenye maeneo ambayo wanaweza kupata fursa ya kuiba.
Nani awekeze kwenye kilimo wakati wakulima hawana manufaa yoyote kwao tofauti na kuhalalisha uchafuzi kila miaka mitano?
Unataka wajenge kiwanda cha mbolea ili tender za kuingiza mbolea wasipate 10% ?
Unataka waanzishe kiwanda cha magari ili wasipige 10% kwenye uagizaji wa magari ?
Kama sera ya majimbo ni mbovu tuongeze devolution kidogo ili wilaya huko ziwe na mapato mengi utaona tunavyokimbia Shaaa hasa wakurugenzi na wakuu wa wilaya wakiwa wanaajiriwa on merit siyo kwa uzuri wa chupi na connection.
Hivi Burundi wenyewe Hali yao ikoje ya kiuchumi kulinganisha na Kanda ya ziwa?Huu ndio mjadala hasa unaoweza kutupatia jibu sahihi juu ya swala la Rwanda kuwa na uchumi mkubwa kuizidi kanda nzima ya Ziwa.
Ahsante mkuu 'PTER', kwa mwanzo huu mzuri.
Lakini najuwa hoja hii muhimu sana ndani ya mada nyingine haitapata mjadala wa nguvu unaotakiwa kulijadili jambo hili.
Ngoja tusubiri kuona itakuwaje.
Sisi hatujawahi kujua matatizo yetu ya msingi ni yapi yanayotukwamisha ni yapi.Bado ninahitaji kuelemishwa mkuu kwa suala hilo la Rwanda kuwa na uchumi mkubwa kuzidi maeneo kama hayo ya nchi yetu, pamoja na kwamba, huenda Katiba yetu ni sehemu ya tatizo hilo.
Nitafurahi kupata darasa toka kwa yeyote.
Hapo kwny Jeshi kurudi na rasimali kutoka Congo Kuna mtu atakuuliza wachukue hizo rasilimali za nini wkt hata hapa Tz zipo?Sisi hatujawahi kujua matatizo yetu ya msingi ni yapi yanayotukwamisha ni yapi.
Kingine sera ya ujamaa katika taifa hili iliua kabisa misingi ya watu kuwa competitive na serikali nayo haitaki kushindana kiuchumi na mataifa jirani.
Hatuna vipaumbele vya kimkakati kuinua uchumi wa nchi badala yake anachoamka nacho kiongozi ndiyo wowote tunaona ndiyo kipaumbele cha taifa.
Ningekuwa mwanasiasa mimi ningetumia utalii peke yake kuzalisha mapato ya kuhudumia nchi nzima.
Ningekuwa mwanasiasa mimi ningetumia maji ya ziwa victoria kwa kuanzisha miradi mikubwa ya umwagiliaji katika mikoa ya Mwanza, Shinyanga, Geita na Mara tungezalisha mazao ya kutosha kulisha ya kutosha.
Mapato ya dhahabu na almasi ningeanzisha mfuko wa Elimu kila mtoto wa mtanzania asome bure kuanzia Nursery mpaka chuo Kikuu.
Ningehakikisha majeshi yetu kule Congo yanavuna raslimali za Congo na kuzileta Tanzania kwa kila njia.
Aliyeanzisha ujamaa alituroga bahati mbaya sana bado chama tawala ni cha kijamaa ila viongozi wake ni mabepari wa kodi za wananchi.
Nimeishia kulaumu tu siku nyingine nitatoa suluhu.
By the way kesho tukaandamane Mwenyekiti anaonewa bila sababu
Mkuu tatizo la nchi hii ni kubwa sana kuliko tunavyolichukulia.Huu ndio mjadala hasa unaoweza kutupatia jibu sahihi juu ya swala la Rwanda kuwa na uchumi mkubwa kuizidi kanda nzima ya Ziwa.
Ahsante mkuu 'PTER', kwa mwanzo huu mzuri.
Lakini najuwa hoja hii muhimu sana ndani ya mada nyingine haitapata mjadala wa nguvu unaotakiwa kulijadili jambo hili.
Ngoja tusubiri kuona itakuwaje.
Sisi tunatuma majeshi yetu ni kama kwenda kutafuta sifa za kijinga.Hapo kwny Jeshi kurudi na rasimali kutoka Congo Kuna mtu atakuuliza wachukue hizo rasilimali za nini wkt hata hapa Tz zipo?
Jibu ni moja tu USA Wana rasilimali za kutosha lkn kila wakisikia sehemu Kuna fursa hawaiachi iwe kihalali au haramu.
Huo ndio ubepari halisi.
Tumia akili zaidi kufikiria sio ukada kada.Maendeleo makubwa yanayofanywa na NDUGU ZETU RWANDA.....
Badala ya kuagiza Volkswagen kutoka nje,watanzania tuanze kuziagiza kutoka RWANDA ili tuendelee kuimarisha chumi za nchi zetu.......
#KongoleMh.SSH
#SiempreUhusianoWetuNaRwanda
#SisiNiWamoja
#NchiKwanza
#KaziIendelee
Usilinganishe VW za showroom zenu hizo na za Be Foward bei na assembled brand new plus kodi. Jipange rasHawa jamaa wanatengeneza VW sikujua....
tunahangaika kuagiza magari ya fahari mbali kumbe kwa jirani yapo..!!!?
I think I hv to make a trip to Kigari and grab one....
Hakuna. Bei ni kubwaHayo magari yanayounganishwa vipande vyake Rwanda, tutayanunua baada ya vipande hivyo kupitia hapa Tanzania na kusafirishwa hadi Rwanda, kuviunganisha, na kuyarudisha hapa tuyanunue!, kwa bei poa kuliko ile ya kusafirisha gari moja kwa moja toka Ujerumani!
Mkuu uko sahihi lakini usijichoshe na useless leadership wenye wasio fuata ethics na kupeana positions kwa kujuana bila kufuata qualificationsSisi tunatuma majeshi yetu ni kama kwenda kutafuta sifa za kijinga.
Kama tunazotumia kuhusu kukomboa mataifa ya kusini mwa Afrika na nchi imeendelea kuwa hohehahe na kubaki na sifa za kijinga kuwa tuliwakomboa tu so what ?
Watanzania tungekuwa tunapigania kwenda wapi kama taifa tungekuwa hub ya uchumi wa Subsaharan Africa.
Imagine East Africa sisi ndiyo tunapopulation kubwa zaidi na tunaeneo Kubwa zaidi kuliko Rwanda, Uganda, Kenya, Burundi combined lakini sisi ndiyo the sleeping giant.
Sisi tumezungukwa na nchi nane ambazo hazina bahari maskini ya Mungu lakini bandari yetu inakimbizwa na bandari ya Lamu.
Dah nikiyatafakari haya huwa nakosa raha kabisa .
Mkuu wengine mambo yasipokwenda sawa kwenye nchi yako ile inner peace inakosekana kabisa.Mkuu uko sahihi lakini usijichoshe na useless leadership wenye wasio fuata ethics na kupeana positions kwa kujuana bila kufuata qualifications
Sent from my SM-G9350 using JamiiForums mobile app
Vw Polo model ya 2019 Rwanda walikua wanaiuza $23,881 all taxes included.Tumia akili zaidi kufikiria sio ukada kada.
Unajua bei ya kuagiza VW mpya? Hata kutoka Germany ama South Africa assembled VW. ??? Na kwanza ni watanzania wangapi wananunuaga magari brand new kama sio second hand [emoji3451] aka mtumba!?
Rwanda penyewe wanastrugle nani wa kumuuzia, wanategemea serikali na balozi mbali mbali na si mwananchi wa kawaida ambapo wanataka kupunguza umri wa kuagiza magari hadi ufikie miaka minne ili kushawishi wananchi wanunue tu hata kwa bei kubwa kama ilivyo Ethiopia na viwanda vyao vya ndani vya magari.
Ukinunua VW mpya Rwanda ni zaidi ya $10,000 zaidi ya ukiagiza Germany. Na VW za Rwanda ni gharama kuliko za South Afrika plus za Kenya (ambako walikua na kiwanda miaka ya nyuma na wamekifufua tena) na hapo kabla ya kodi ya kuzifikisha bongo. Hii ni kutokana na gharama ya kutoa CKD South Africa by sea zipitie Mombasa Port then Kigali by road...,Rwanda sio kiwanda cha uzalishaji bali ni kiwanda cha kuunganisha (CKD)
To conclude halafu RWANDA SIO NDUGU zetu ni majirani zetu.....
Sent from my SM-G9350 using JamiiForums mobile app
Mbona mika 30 kabla ndege hazijanunuliwa hicho kilimo chako kilishindikana? Kwa hiyo trilion mbili ndizo ingeleta mapinduzi ya kilimo? Kama taifa tunazo sababu nyingi tu za kuwa na ndege zetu wenyewe. Tatizo siyo kununua ndege tatizo ni usimaizi na uendeshaji wa shirika letu la ndege. Wakati Julius Nyerere anaondoka madarakani kama miaka 40 iliyopita aliacha shirika la ndege likiwa na ndege 11 na wakati huo hakukuwa na fursa mbalimbali za kibiashara na pia uchumi wetu ulikuwa mdogo sana kuliko hali ilivyo sasa. Sasa kama wakati huo tulikuwa na ndsge 11 leo hii ni kitu gani kinatuzuia tusiwe na ndege idadi kama hiyo au hata na zaidi? Kwanza ilikuwa nia aibu kubwa sana kwa taifa letu kuwa na shirika la ndege ambalo halina hata ndege moja!..ni kwasababu tunanunua ndege cash kwa trillion 2.
..wakati bajeti yetu ya wizara ya kilimo na ushirika ni billioni 294.
..vipaumbele vyetu sio sahihi hata kidogo.
Cc zandrano
Haya maneno haya. Maneno mazito sana yanayobeba ukweli kamili wa hali inayotukabili kama taifa kwa wakati huu.Mifumo yetu ya utawala inatengeneza kiongozi wa nchi kuwa Mungu wa nchi sasa Wananchi hawawezi kumuamulia Mungu wao vipaumbele vya kutekeleza
Mungu akiamua awapelekee wananchi Bomba la gas hata kama hitaji lao ni maji atapeleka kisha atapotea watakuja wapambe wake kusifia.Haya maneno haya. Maneno mazito sana yanayobeba ukweli kamili wa hali inayotukabili kama taifa kwa wakati huu.
Huyu 'mungu' wetu sasa anaamua polisi watunge sheria popote walipo na kuzitekeleza kwa niaba yake!
[emoji817][emoji3581]Kagame ingawa ni Dikteta sugu ila ana akili sana anawazidi kwa mbali mno hawa marais wa East Africa. Wa pili ni Kenyatta...
Wengine hawa ni mwendo wa kudra za mwenyezi Mungu.
Aisee....Usilinganishe VW za showroom zenu hizo na za Be Foward bei na assembled brand new plus kodi. Jipange ras
Sent from my SM-G9350 using JamiiForums mobile app
Unajuaje kama aliyeandika comment hiyo ni kijana, inawezekana akawa amemzidi umri huyo bi Mwenda wenu.Ndio uhuru mnaoutaka huu?
Huyo ni sawa na mama yako kijana chagua maneno