PICHA: Rais Samia Akiwa Na Pistol Mkononi Akiwa Ameishika Kikakamavu na Kikomandoo

Ndugu zangu Watanzania,

Kwa hakika Tuna Rais Imara ,tuna Rais wa Viwango ,tuna Rais Hodari ,tuna Rais shupavu ,madhubuti na Makini kwelikweli. Tuna Rais Ambaye alistahili na amesitahili kuitwa Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya ulinzi na usalama.

Tuna Rais Mwenye Hadhi ya Uamiri Jeshi Mkuu Wa Kuongoza Majeshi yetu yote na kutoa Amri kwa Vikosi vyote. Rais Samia ni Mtu na Nusu . Sijapata Kuona Mama Na kiongozi Shupavu na mahiri kama Rais Samia kwa Miaka ya hivi karibuni. Inaleta raha sana kuongozwa na Kiongozi aina ya Rais Samia. Kwa sababu unakuwa huna wasiwasi wala hofu ya aina yoyote ile

Ni kiongozi mwenye utimamu wa akili na Mwili.mwenye uwezo wa kufanya maamuzi Magumu na yenye tija. Ni kiongozi mwenye uwezo na nguvu ya kufanya kazi kwa saa 24 Usiku na mchana bila kupumzika.

Kwa hakika Mikononi Mwa Rais Samia Tupo Kanaan . Tuweni na Imani na Mama yetu . Kwa uwezo wa Mwenyezi Mungu aliyemuinua na kumpa kibali Rais wetu Mpendwa Atatuvusha katika kila mtihani utakaojitokeza mbele yetu kama Taifa. Hakuna kilele ambacho tutashindwa kufika Kama Taifa.

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.View attachment 3548131
Amemuelekezea Mungu risasi mbinguni! Huyu habari yake ndio imekwishney😀
 
Kwa hiyo chawa unaamini huyo mamayo ni komando siyo?
Safari ni ndefu sana, akili kama hizi haziwezi kuwa akiba bora ya fikra ya vizazi vijavyo.
Hata kama unampenda mtu siyo kwa ujinga huu.
Mtakuja kuulizwa na vitukuu vyenu kuhusu hii dhambi.
Mwanaume kufikia hatua ya kumsujudia mwanamke namna hii ni upumbavu uliopitiliza.
Acha Wivu wako hapa wewe
 
Ndugu zangu Watanzania,

Kwa hakika Tuna Rais Imara ,tuna Rais wa Viwango ,tuna Rais Hodari ,tuna Rais shupavu ,madhubuti na Makini kwelikweli. Tuna Rais Ambaye alistahili na amesitahili kuitwa Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya ulinzi na usalama.

Tuna Rais Mwenye Hadhi ya Uamiri Jeshi Mkuu Wa Kuongoza Majeshi yetu yote na kutoa Amri kwa Vikosi vyote. Rais Samia ni Mtu na Nusu . Sijapata Kuona Mama Na kiongozi Shupavu na mahiri kama Rais Samia kwa Miaka ya hivi karibuni. Inaleta raha sana kuongozwa na Kiongozi aina ya Rais Samia. Kwa sababu unakuwa huna wasiwasi wala hofu ya aina yoyote ile

Ni kiongozi mwenye utimamu wa akili na Mwili.mwenye uwezo wa kufanya maamuzi Magumu na yenye tija. Ni kiongozi mwenye uwezo na nguvu ya kufanya kazi kwa saa 24 Usiku na mchana bila kupumzika.

Kwa hakika Mikononi Mwa Rais Samia Tupo Kanaan . Tuweni na Imani na Mama yetu . Kwa uwezo wa Mwenyezi Mungu aliyemuinua na kumpa kibali Rais wetu Mpendwa Atatuvusha katika kila mtihani utakaojitokeza mbele yetu kama Taifa. Hakuna kilele ambacho tutashindwa kufika Kama Taifa.

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.View attachment 3548131
Hata unayemsifia inafika mahali anakushangaa😂
 
Usimfananishe Rais wetu na watu wa ajabu ajabu hapa. Rais Samia ni Level za Juu kama Nyota angani.
Hivi wewe Lukas Mwashambwa ni mwanamke ama mwanaume? na je uliwahi kubakwa katika utoto wako? Nimekuwa tafuatilia post zako....naona una shida fulani
 
Ungeacha wenye akili Timamu wajadili hoja
 
Ndugu zangu Watanzania,

Kwa hakika Tuna Rais Imara ,tuna Rais wa Viwango ,tuna Rais Hodari ,tuna Rais shupavu ,madhubuti na Makini kwelikweli. Tuna Rais Ambaye alistahili na amesitahili kuitwa Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya ulinzi na usalama.

Tuna Rais Mwenye Hadhi ya Uamiri Jeshi Mkuu Wa Kuongoza Majeshi yetu yote na kutoa Amri kwa Vikosi vyote. Rais Samia ni Mtu na Nusu . Sijapata Kuona Mama Na kiongozi Shupavu na mahiri kama Rais Samia kwa Miaka ya hivi karibuni. Inaleta raha sana kuongozwa na Kiongozi aina ya Rais Samia. Kwa sababu unakuwa huna wasiwasi wala hofu ya aina yoyote ile

Ni kiongozi mwenye utimamu wa akili na Mwili.mwenye uwezo wa kufanya maamuzi Magumu na yenye tija. Ni kiongozi mwenye uwezo na nguvu ya kufanya kazi kwa saa 24 Usiku na mchana bila kupumzika.

Kwa hakika Mikononi Mwa Rais Samia Tupo Kanaan . Tuweni na Imani na Mama yetu . Kwa uwezo wa Mwenyezi Mungu aliyemuinua na kumpa kibali Rais wetu Mpendwa Atatuvusha katika kila mtihani utakaojitokeza mbele yetu kama Taifa. Hakuna kilele ambacho tutashindwa kufika Kama Taifa.

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.View attachment 3548131
Takataka kama takataka zingine!
 
Wewe Endelea na Malamli yako ya kiganga na kichawi.
Sawa lakini mimi kwa upendo mkuu niko tayari kukusaidia bure
Unajua hata wafu hawajitambui shida inabaki kwa walio hai
Tafakari kwa makini na uchukue maamuzi sahihi nipo nakusubiri ukiwa tayari utanicheki hata PM! Sawa Lucas!
 
Back
Top Bottom