JUAN MANUEL
JF-Expert Member
- Nov 26, 2010
- 8,556
- 18,428
"Komandoo" wa, kukata gogoNdugu zangu Watanzania,
Kwa hakika Tuna Rais Imara ,tuna Rais wa Viwango ,tuna Rais Hodari ,tuna Rais shupavu ,madhubuti na Makini kwelikweli. Tuna Rais Ambaye alistahili na amesitahili kuitwa Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya ulinzi na usalama.
Tuna Rais Mwenye Hadhi ya Uamiri Jeshi Mkuu Wa Kuongoza Majeshi yetu yote na kutoa Amri kwa Vikosi vyote. Rais Samia ni Mtu na Nusu . Sijapata Kuona Mama Na kiongozi Shupavu na mahiri kama Rais Samia kwa Miaka ya hivi karibuni. Inaleta raha sana kuongozwa na Kiongozi aina ya Rais Samia. Kwa sababu unakuwa huna wasiwasi wala hofu ya aina yoyote ile
Ni kiongozi mwenye utimamu wa akili na Mwili.mwenye uwezo wa kufanya maamuzi Magumu na yenye tija. Ni kiongozi mwenye uwezo na nguvu ya kufanya kazi kwa saa 24 Usiku na mchana bila kupumzika.
Kwa hakika Mikononi Mwa Rais Samia Tupo Kanaan . Tuweni na Imani na Mama yetu . Kwa uwezo wa Mwenyezi Mungu aliyemuinua na kumpa kibali Rais wetu Mpendwa Atatuvusha katika kila mtihani utakaojitokeza mbele yetu kama Taifa. Hakuna kilele ambacho tutashindwa kufika Kama Taifa.
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.View attachment 3548131
Aaah wapi! Mtu mwenyewe katepeta hivyo au mtasingizia swaum??Usimfananishe Rais wetu na watu wa ajabu ajabu hapa. Rais Samia ni Level za Juu kama Nyota angani.
Ndugu zangu Watanzania,
Kwa hakika Tuna Rais Imara ,tuna Rais wa Viwango ,tuna Rais Hodari ,tuna Rais shupavu ,madhubuti na Makini kwelikweli. Tuna Rais Ambaye alistahili na amesitahili kuitwa Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya ulinzi na usalama.
Tuna Rais Mwenye Hadhi ya Uamiri Jeshi Mkuu Wa Kuongoza Majeshi yetu yote na kutoa Amri kwa Vikosi vyote. Rais Samia ni Mtu na Nusu . Sijapata Kuona Mama Na kiongozi Shupavu na mahiri kama Rais Samia kwa Miaka ya hivi karibuni. Inaleta raha sana kuongozwa na Kiongozi aina ya Rais Samia. Kwa sababu unakuwa huna wasiwasi wala hofu ya aina yoyote ile
Ni kiongozi mwenye utimamu wa akili na Mwili.mwenye uwezo wa kufanya maamuzi Magumu na yenye tija. Ni kiongozi mwenye uwezo na nguvu ya kufanya kazi kwa saa 24 Usiku na mchana bila kupumzika.
Kwa hakika Mikononi Mwa Rais Samia Tupo Kanaan . Tuweni na Imani na Mama yetu . Kwa uwezo wa Mwenyezi Mungu aliyemuinua na kumpa kibali Rais wetu Mpendwa Atatuvusha katika kila mtihani utakaojitokeza mbele yetu kama Taifa. Hakuna kilele ambacho tutashindwa kufika Kama Taifa.
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.View attachment 3548131
Samia ni Rais bora kabisa kuwahi kutokea ndani ya nchi hii
Mungu ampe afya na maisha marefu
Usimfananishe Rais wetu na watu wa ajabu ajabu hapa. Rais Samia ni Level za Juu kama Nyota angani.
Mungu akusamehe sanaSijui kwa nini MELO mpaka Leo hajaweka reaction ya DOLE LA KATI KATI watu kama wewe ni HAKI YENU HAKIKA..
Umelaaniwa shetani wewe."Komandoo" wa, kukata gogo
Wewe ndiye umezeekaMbona kazeeka ghafla?
Kuna vitu vinafanana sana lakini viko mbali kabisa.Ndugu zangu Watanzania,
Kwa hakika Tuna Rais Imara ,tuna Rais wa Viwango ,tuna Rais Hodari ,tuna Rais shupavu ,madhubuti na Makini kwelikweli. Tuna Rais Ambaye alistahili na amesitahili kuitwa Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya ulinzi na usalama.
Tuna Rais Mwenye Hadhi ya Uamiri Jeshi Mkuu Wa Kuongoza Majeshi yetu yote na kutoa Amri kwa Vikosi vyote. Rais Samia ni Mtu na Nusu . Sijapata Kuona Mama Na kiongozi Shupavu na mahiri kama Rais Samia kwa Miaka ya hivi karibuni. Inaleta raha sana kuongozwa na Kiongozi aina ya Rais Samia. Kwa sababu unakuwa huna wasiwasi wala hofu ya aina yoyote ile
Ni kiongozi mwenye utimamu wa akili na Mwili.mwenye uwezo wa kufanya maamuzi Magumu na yenye tija. Ni kiongozi mwenye uwezo na nguvu ya kufanya kazi kwa saa 24 Usiku na mchana bila kupumzika.
Kwa hakika Mikononi Mwa Rais Samia Tupo Kanaan . Tuweni na Imani na Mama yetu . Kwa uwezo wa Mwenyezi Mungu aliyemuinua na kumpa kibali Rais wetu Mpendwa Atatuvusha katika kila mtihani utakaojitokeza mbele yetu kama Taifa. Hakuna kilele ambacho tutashindwa kufika Kama Taifa.
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.View attachment 3548131
Samia Suluhu Hassan is the world's tyrant President.Mimi sisifii na wala huwa sisifii mtu. Mimi ni msema kweli na mtu wa kuongea ukweli
Jitu kama wewe inafaa upigwe risasi hata asubuhi hii uondoke Duniani maana ni hasara kuendelea kuwepoKuna vitu vinafanana sana lakini viko mbali kabisa.
Hekima imefanana sana busara lakini ni vitu viwili tofauti. Hekima ni karma ya Roho Mtakatifu, inatoka kwa Mungu. Busara ni akili ya kibinadamu iliyojaa maneno matamu na ya kilaghai ili kuufarahisha umma, busara haina suluhisho la kudumu Bali hupooza hasira au ukali wa Jambo kwa muda mfupi tu.
Upole ni karama ya Roho Mtakatifu, imetoka kwa Mungu, mtu anaweza kuwa muongeaji sana ana vituko na vibweka vingi lakini Nani mwake akawa ni mpole aliyejawa na matendo ya huruma na mwenye hofu ya Mungu.
Ukimya ni hali ya kukaa kimya tu ili uonekane mbele za watu kwamba wewe ni mpole lakini katikati ya ukimwa wako huo ukawa ni mkatili, muuaji na mshenzi na dhalimu daraja la Kwanza.
Sasa ndugu wewe uliyeua maelfu ili utamalaki, alipokufa jirani yako kwa kuuawa kinyama ulisema kifo ni kifo tu, msilete taharuki.
Watoto wa mjomba wako wanatekwa wanapotezwa na kuuawa unaona POA tu.
Juzi kati umeamuru watoto kutoka nchi jirani waliuliwe kwa makumi elfu, Mara tena ukasema sio watoto wa majirani ila watoto wa mdogo wako.
Hukuwahi kuonesha kujuta wala kutubu kwa uovu huo, hadi sinagogini wakakusuta, sasa ndio unajidai kuasili mtoto.
Watanzania sio mazumbukuku, wewe ni muuaji, wewe ni Yezebeli unayenuka damu za watu wasio na hatia.
Umeasili mtoto ili upate bebeo la kisiasa na utengeneze kiki ili kina Lucas Mwashambwa, Tlaatlaah, na ChoiceVariable wakuone wewe ni mtu wa maana kumbe kibwengo tu
Nilimiss ujinga wako mkuu!Ndugu zangu Watanzania,
Kwa hakika Tuna Rais Imara ,tuna Rais wa Viwango ,tuna Rais Hodari ,tuna Rais shupavu ,madhubuti na Makini kwelikweli. Tuna Rais Ambaye alistahili na amesitahili kuitwa Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya ulinzi na usalama.
Tuna Rais Mwenye Hadhi ya Uamiri Jeshi Mkuu Wa Kuongoza Majeshi yetu yote na kutoa Amri kwa Vikosi vyote. Rais Samia ni Mtu na Nusu . Sijapata Kuona Mama Na kiongozi Shupavu na mahiri kama Rais Samia kwa Miaka ya hivi karibuni. Inaleta raha sana kuongozwa na Kiongozi aina ya Rais Samia. Kwa sababu unakuwa huna wasiwasi wala hofu ya aina yoyote ile
Ni kiongozi mwenye utimamu wa akili na Mwili.mwenye uwezo wa kufanya maamuzi Magumu na yenye tija. Ni kiongozi mwenye uwezo na nguvu ya kufanya kazi kwa saa 24 Usiku na mchana bila kupumzika.
Kwa hakika Mikononi Mwa Rais Samia Tupo Kanaan . Tuweni na Imani na Mama yetu . Kwa uwezo wa Mwenyezi Mungu aliyemuinua na kumpa kibali Rais wetu Mpendwa Atatuvusha katika kila mtihani utakaojitokeza mbele yetu kama Taifa. Hakuna kilele ambacho tutashindwa kufika Kama Taifa.
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.View attachment 3548131
Siandikagi ujinga Mimi.Nilimiss ujinga wako mkuu!