Picha: Rais Samia atumia sayansi kuzuia mikutano ya wapinzani

Hapa Lema anamshauri Rais kuhusu teuzi zake, wanamwambia silaha gani za kutumia.

Hii inaonyesha hofu na kukosa focus kwenye siasa zao.

Bado hawajajua adui yao ni nani. Kwa hofu n udhaifu wanaonyesha kama hivi Makonda atawararua tu.
Hao ni watoa taarifa mkuu, sio wapinzani wa kweli kama baadhi ya watu wanavyo hadaiwa na wanasiasa uchwara hao.
 
Samia ana akili Bilioni.Ogopa sana watu wenye uwezo mkubwa wa kuhimili hisia hasi.
 
Ngoja tumsikilizie kwanza muuaji aliyeteuliwa kuongoza chama dola
Karma ya mauaji ya Chacha Wangwe inamuandama mwenyekiti wa chama cha upinzani mdogo mdogo, hadi kupelekea chama hicho kupoteza ushawishi kama zamani.
 
Kwani Samia mnadhani hajui kuwa Makonda siyo msafi? Anajuwa kabisa kuwa Makonda ni muuaji, dhulmati na mtekaji ila amewapa wanachotaka.
Hiyo sasa ndiyo siasa. Unamkabili adui kwa kasi ileile anayokuja nayo. Akija kwa staha unakwenda naye kwa staha. Akija kwa matusi na dharau unammuonyesha dharau mara 10 zaidi.

Hawa pimbi wenu akina Lissu na Mdude wamekuwa wakitukana kila siku mnawachekea. Sasa wame beep na mama kawapigia.

Hapa hapigwi mtu risasi kama Magufuli alivyokuwa anapiga akina Lissu, wala mtu hatekwi na kufunguliwa mashtaka ya kutakatisha fedha.

Samia atashindana kwa performance, sera nzuri uongozi bora.
 
Mtoto jeuri (Chadema) dawa yake ni kiburi (Makonda) 🤣🤣🤣
 
Kwa iyo unakubali kuwa aya yanayotokea leo yamepangwa?
Yawe yamepangwa au hayakupangwa, lkn hayatoondoa ukweli kwamba raisi Samia kajua kuwadhibiti wapinzani wake wasiendelee na mikutano kupitia Paul Makonda na wenyewe mnaona jinsi wapinzani hao walivyonywea.
 
Ujinga
 
Nilipokuelewa ni ulipomuita mzee wa Ubwabwa muheshimiwa, huyu jamaa namkubali sana sera zake za kupeleka bahari Dodoma na kugawa ubwabwa mashuleni na uraiani... hapo tu!!!
 
Nilipokuelewa ni ulipomuita mzee wa Ubwabwa muheshimiwa, huyu jamaa namkubali sana sera zake za kupeleka bahari Dodoma na kugawa ubwabwa mashuleni na uraiani... hapo tu!!!
Huyu mzee tukimpa nchi basi walimaji wa mahindi na wauza unga watahamia Malawi 🤣🤣🤣
 
Yawe yamepangwa au hayakupangwa, lkn hayatoondoa ukweli kwamba raisi Samia kajua kuwadhibiti wapinzani wake wasiendelee na mikutano kupitia Paul Makonda na wenyewe mnaona jinsi wapinzani hao walivyonywea.
Haya huo ni mtazamo wako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…