PICHA: Rais Samia na Peter S Greenberg wakiandaa Royal tour lakini hakuna 'social distancing'

PICHA: Rais Samia na Peter S Greenberg wakiandaa Royal tour lakini hakuna 'social distancing'

Angeweza kufanya hiyo acting kwa staha zaidi kama Rais wa nchi na ujumbe ukafika vile vile!
Hamna tatizo lolote hapo, isitoshe walengwa wa hiyo filamu tamaduni zao zipo hivyo.
 
Hamna tatizo lolote hapo, isitoshe walengwa wa hiyo filamu tamaduni zao zipo hivyo.
Kama walengwa hatukiwa Sisi ambao utamaduni wetu hauko hovyo kwanini walituonesha? Walitaka tumuone Rais wetu akidharau utamaduni wetu?
 
Back
Top Bottom