PICHA: Rais Samia na Peter S Greenberg wakiandaa Royal tour lakini hakuna 'social distancing'

PICHA: Rais Samia na Peter S Greenberg wakiandaa Royal tour lakini hakuna 'social distancing'


Acheni ujinga, kuna kosa gani hapo, huyo Peter Greenberg is known worldwide kufanya Royal Tour, kashafanya na marais na wakuu wa nchi nyingi duniani..

Acheni huu upuuzi wa kutaka kumchafua Mh. Rais. Chadema roho inawauma sana nchi yetu kutangazwa tupate watalii wengi zaidi. Kazi iendelee
Kachafuliwa wap sasa hapa na wewe mbona povu tu kama huelewi?
 
Tour guide?
JamiiForums150941153.jpg
 
Duh!!? Hivi Rais angekua mwanaume wangeshikana hivo?!

Mbona najisikia vibaya hivi?!!!
 
Hii ni dharau kwa mamlaka ya urais.

Huyu mama anaufanya urais kuwa kitu kidogo sana
True Very stupid ,tusubiri wazungu kutushika matako tu wasasa ,nchi inaitaji kiongozi jasiri mwenye upeo siyo kusujudia mzungu
Huyo tuliye naye anataka tuishi kwa kila neno litokalo kwa mzungu
 
Mpango upo, katiba inaruhusu na sasa hivi tuna uzoefu🤣
 
Walinzi wa rais wanachemka sana, ikumbukwe kuchanja Jonhson and Jonhson sio uhakika wa kutopata maambukizi ya Uviko -19
View attachment 1933608
Nchi imeshikwa na deep state sasa,shadow government ndio inaongoza nchi,mama yupo kama alama tu she is like petty dog,burking dog with out teeth.
Security organs,PM,senior executives,Kikwete na mtandao wake,hao ndio wanaikimbiza nchi.
Juzi wakati Ndugai anaongelea matumizi mabaya ya pesa ya umma yanayofanywa na mawaziri kwa kusafiri kila wakati kuja Dar,Waziri mkuu alikuwa anacheka cheka tu,
 
Back
Top Bottom