PICHA: Rais Samia na Peter S Greenberg wakiandaa Royal tour lakini hakuna 'social distancing'

PICHA: Rais Samia na Peter S Greenberg wakiandaa Royal tour lakini hakuna 'social distancing'

Rais ni sura ya nchi
Sasa jamaa alivyomkamata huo mkono kifasihi inaonesha ameikamata nchi na anaipeleka uelekeo anaotaka yeye
 
utalii unaendelea

Screenshot (10).png
 
Acheni ujinga, kuna kosa gani hapo, huyo Peter Greenberg is known worldwide kufanya Royal Tour, kashafanya na marais na wakuu wa nchi nyingi duniani..

Acheni huu upuuzi wa kutaka kumchafua Mh. Rais. Chadema roho inawauma sana nchi yetu kutangazwa tupate watalii wengi zaidi. Kazi iendelee
Binadam tuna kazi kwerkweri mkuu

Ova
 
Sioni tatizo lolote la hii picha. Nilienda Canada. Mke wa Waziri Mkuu aliomba kupiga picha nami. Aliyepiga picha ni mume wake. Nilikuwa na shaka kidogo, nikakipu distance, lakini mke wa Waziri mkuu alilalamika akiomba nimkumbatie. Nilishtuka kidogo, nikamtazama mumewe, yeye akafurahi na kuniambia, please do it. Nilimkumbatia, mumewe akapita picha. Tukapeana mikono kwa furaha kubwa.

Kwani kuwa Rais, ubinadamu wake umebadilika?

Tuangalie mambo makubwa. Tukosoa mambo makubwa, kama ya kubambikia watu kesi za ugaidi, siyo picha. Ningeshangaa kama angekuwa amepiga picha, labda akiwa nusu uchi, lakini siyo kwa hii picha.
Maelezo meeeengi. unajua kanuni za COVID?
 
Hivi kila mwenye mtazamo hasi juu ya jambo Fulani ni Chadema? Bongo inafurahisha sana

Back
Top Bottom