PICHA: Rais Samia na Peter S Greenberg wakiandaa Royal tour lakini hakuna 'social distancing'

PICHA: Rais Samia na Peter S Greenberg wakiandaa Royal tour lakini hakuna 'social distancing'

kuna mtu alimkoti Nyerere sikumbuki alisemaje sijui
Nimekumbuka ile quote ya Nyerere unayoisema….. usishikane mikono na babu wa kizungu kama hujawahi kufanya hivyo kwa mtanzania mwenzio…
 

Acheni ujinga, kuna kosa gani hapo, huyo Peter Greenberg is known worldwide kufanya Royal Tour, kashafanya na marais na wakuu wa nchi nyingi duniani..

Acheni huu upuuzi wa kutaka kumchafua Mh. Rais. Chadema roho inawauma sana nchi yetu kutangazwa tupate watalii wengi zaidi. Kazi iendelee
Kwa taarifa yako hawa wanaoandika negative about our President ni sukuma gang. Mama awakanye wanawe huko Lumumba.
 
Wageni wote wanaoingia nchini wanapimwa kabla ya kuruhusiwa kuendelea na shughuli zilizowaleta
 
Jamani give her a break, khaaa! Si na hakika kama wengi wetu hatuujui upendo wa Mama ulivyo kwa wanae. Na amini wengi mmeupitia hata kama ni mama mlezi si wakubeba tumboni mwake kwa miezi 9 lakini bado haijalishi Mama ni Mama tu.
# tag Give a value deserves to Mother's love.
 
Nyerere slogan ilikua kilimo ndio uti wa mgongo
Mwnyi akaja na ruksa
Mkapa ukweli na uwazi
Kikwete ari mpya kasi mpya nguvu mpya
Magufuli tz ya viwanda
Samia utaliii...
 
Back
Top Bottom