Proved JF-Expert Member Joined Sep 10, 2018 Posts 32,639 Reaction score 42,908 May 16, 2022 #141 Ndinani said: Angeweza kufanya hiyo acting kwa staha zaidi kama Rais wa nchi na ujumbe ukafika vile vile! Click to expand... Hamna tatizo lolote hapo, isitoshe walengwa wa hiyo filamu tamaduni zao zipo hivyo.
Ndinani said: Angeweza kufanya hiyo acting kwa staha zaidi kama Rais wa nchi na ujumbe ukafika vile vile! Click to expand... Hamna tatizo lolote hapo, isitoshe walengwa wa hiyo filamu tamaduni zao zipo hivyo.
N Ndinani JF-Expert Member Joined Aug 29, 2010 Posts 7,329 Reaction score 4,286 May 16, 2022 #142 Proved said: Hamna tatizo lolote hapo, isitoshe walengwa wa hiyo filamu tamaduni zao zipo hivyo. Click to expand... Kama walengwa hatukiwa Sisi ambao utamaduni wetu hauko hovyo kwanini walituonesha? Walitaka tumuone Rais wetu akidharau utamaduni wetu?
Proved said: Hamna tatizo lolote hapo, isitoshe walengwa wa hiyo filamu tamaduni zao zipo hivyo. Click to expand... Kama walengwa hatukiwa Sisi ambao utamaduni wetu hauko hovyo kwanini walituonesha? Walitaka tumuone Rais wetu akidharau utamaduni wetu?
Kalunya JF-Expert Member Joined Oct 5, 2021 Posts 13,322 Reaction score 18,609 May 16, 2022 #143 AlphaPii said: Hii ni dharau kwa mamlaka ya urais. Huyu mama anaufanya urais kuwa kitu kidogo sana Click to expand... Hapo aliuweka uraisi pembeni na hio filamu ni kwa ajili ya watalii na sio maraisi
AlphaPii said: Hii ni dharau kwa mamlaka ya urais. Huyu mama anaufanya urais kuwa kitu kidogo sana Click to expand... Hapo aliuweka uraisi pembeni na hio filamu ni kwa ajili ya watalii na sio maraisi
Proved JF-Expert Member Joined Sep 10, 2018 Posts 32,639 Reaction score 42,908 May 16, 2022 #144 Ndinani said: Kama walengwa hatukiwa Sisi ambao utamaduni wetu hauko hovyo kwanini walituonesha? Walitaka tumuone Rais wetu akidharau utamaduni wetu? Click to expand... Kalunya said: Hapo aliuweka uraisi pembeni na hio filamu ni kwa ajili ya watalii na sio maraisi Click to expand... The Sunk Cost Fallacy ...
Ndinani said: Kama walengwa hatukiwa Sisi ambao utamaduni wetu hauko hovyo kwanini walituonesha? Walitaka tumuone Rais wetu akidharau utamaduni wetu? Click to expand... Kalunya said: Hapo aliuweka uraisi pembeni na hio filamu ni kwa ajili ya watalii na sio maraisi Click to expand... The Sunk Cost Fallacy ...
The Sunk Cost Fallacy JF-Expert Member Joined Dec 1, 2021 Posts 19,582 Reaction score 14,167 May 16, 2022 #145 Proved said: The Sunk Cost Fallacy ... Click to expand... Kwa hiyo? Social distancing ya nini wakati wamechanja na kila mda wanafanya check up ya Afya? Na wewe kuwa Peter kama umetamani.
Proved said: The Sunk Cost Fallacy ... Click to expand... Kwa hiyo? Social distancing ya nini wakati wamechanja na kila mda wanafanya check up ya Afya? Na wewe kuwa Peter kama umetamani.