Mheshimiwa rais Samia inashangaza kwamba unakuwa na waziri katika baraza lako ambaye imedhihirika wazi kwa ushahidi wa kutosha kuwa mwaka 2015 aliona fahari kuwakanyaga akina mama waliojilaza chini huku akipita juu yao mithili ya mtu atembeaye juu ya carpet!
Itashangaza mno kama wewe mheshimiwa rais utamwacha Nape kuwa waziri baada ya kitendo chake chenye udhalilishaji mkubwa wa heshima ya wanawake, hasa ikizingatiwa kuwa wewe kama mwanamke ndio kiongozi mkuu wa nchi. Tafadhali chukua hatua stahiki, hii ni kashfa kubwa mno kwa mtu anayetakiwa kuwa kioo cha jamii, hafai kuwa katika baraza la mawaziri.
View attachment 2694151