GE2025 Picha rasmi ya Kampeni: Mgombea urais wa CCM Dkt. Samia na mgombea mwenza Dkt. Nchimbi

GE2025 Picha rasmi ya Kampeni: Mgombea urais wa CCM Dkt. Samia na mgombea mwenza Dkt. Nchimbi

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
KAZI na utu,tunasongambele!

Wamwachie sasa na Lisu,Ili utu uonekane na tusongembele wote kwa pamoja!

Macho Yao yanarembua lakini ni predatory by trade!!

Mimi Nita tick nitakachokiona kwenye balot paper iwe oktoba au November nitatick tu!
 
Ila Nchimbi, kakazana wee hadi anakua no 2 nchini?
Na asipofosi aukwae u no 1 kabisa.
ikitokea kuna vitu 2, kimoja ni kitu na kingine ni hamna, hivi vitu viwili vikiwekwa pamoja, kinacho count ni kile kitu!
Wa kwanza atakuwa wa mwisho na wa mwisho atakuwa wa kwanza!。 its a very good pair!,ina match!
P
 
KAZI na utu,tunasongambele!

Wamwachie sasa na Lisu,Ili utu uonekane na tusongembele wote kwa pamoja!

Macho Yao yanarembua lakini ni predatory by trade!!

Mimi Nita tick nitakachokiona kwenye balot paper iwe oktoba au November nitatick tu!
🤣🤣Yaan comments zako🙌
 
ikitokea kuna vitu 2, kimoja ni kitu na kingine ni hamna, hivi vitu viwili vikiwekwa pamoja, kinacho count ni kile kitu!
Wa kwanza atakuwa wa mwisho na wa mwisho atakuwa wa kwanza!。 its a very good pair!,ina match!
P
Eti eeeh?
 
Hapo mmemdamganya mama.. Ule ushingi mwekundu hua unabamba sana. Hii nyeusi hapana Ul
Kuelekea Uchaguzi Mkuu ujao wa Oktoba 29, Hii ndio picha rasmi ya Mgombea Urais Kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) Samia Suluhu Hassan.

Picha ya pili ni Mgombea mwenza wa Urais kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) Balozi Dkt Emmanuel Nchimbi

e
 
Hakuna picha nzuri zaidi ya Mama yetu kuzidi hii?🤣
 
Back
Top Bottom