GE2025 Picha rasmi ya Kampeni: Mgombea urais wa CCM Dkt. Samia na mgombea mwenza Dkt. Nchimbi

GE2025 Picha rasmi ya Kampeni: Mgombea urais wa CCM Dkt. Samia na mgombea mwenza Dkt. Nchimbi

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Ila Nchimbi, kakazana wee hadi anakua no 2 nchini?
Na sijui asipofosi aukwae u no 1 kabisa. Lol
Mila na desturi haziruhusu ukisha kuwa makamu kwa maelezo ya polepole hata wa sasa kifo tu kimefanikisha
 
Kuelekea Uchaguzi Mkuu ujao wa Oktoba 29, Hii ndio picha rasmi ya Mgombea Urais Kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) Samia Suluhu Hassan.

Picha ya pili ni Mgombea mwenza wa Urais kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) Balozi Dkt Emmanuel Nchimbi

Screenshot_20250703-140259~2.png
 
huyo makamu kwao sio kule wanakoiba makaa yetu ya mawe? kwenye siasa hakuna jambo linalotokea kwa bahati mbaya …
Mkuu Kija, Kijakazi ,yes ni wa kule, ila uwe na adabu,huwezi kusema wanaiba!, anayeiba ni anayechukua kitu ambacho sio chake!, kuchukua kitu chako sio kuiba ni kuchukua tuu!,yale makaa ni yetu,yule jamaa ni vetu,
P
 
Mila na desturi haziruhusu ukisha kuwa makamu kwa maelezo ya polepole hata wa sasa kifo tu kimefanikisha
Polepole ni kijana mdogo wa jana. Alli Hassan Mwinyi alikuwa Rais wa Zanzibar na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Mwalimu alipong'atuka mwaka 1984 yeye akakaimu nafasi ya Rais wa Jamhuri na Mwaka 1985 akachaguliwa rasmi kuwa Rais.
 
Back
Top Bottom