GE2025 Picha rasmi ya Kampeni: Mgombea urais wa CCM Dkt. Samia na mgombea mwenza Dkt. Nchimbi

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Hahahah!! Anaenda kushindana na chauma na TLP
KAZI ni kipimo cha utu
 
Hiyo ya kwanza inachekesha sana.

Age imekata wanangu, akisema ni kiziwi mweleweni.
 

Tatizo la hawa wawili ni wabovu kwenye kuhutubia mikutano ya kikampeni. Hawawezi kuvuta hisia za watu.

Labda ndiyo sababu wameamua kuwapiga pin wapinzani wao.
 
Team Kikwete na Team lowasa katika ubora wao.

Wanamtandao kuwa control hawa ni Rahisi sana.
 
HAWA KWA SASA NDIO WANAUPIGA MWINGI PEKE YAO NDANI NA NJE YA NCHI UKANDA WA JANGWA LA SAHARA

OCTOBER TUKAIUMBUE CHADEMA...!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…