Uchaguzi 2020 PICHA: Sasa ni Rasmi CCM yazikwa Tarime, Ester Matiko aongoza sala ya mwisho

Uchaguzi 2020 PICHA: Sasa ni Rasmi CCM yazikwa Tarime, Ester Matiko aongoza sala ya mwisho

Labda ushindi wa ndondi ila kama ni uchaguzi, Lissu anawapiga vibaya mwaka huu!!
Wewe nyumbu Leo husemi lolote baada ya huyo shoga wenu kupata kipigo Cha shoga mwizi.
Mmepigwa na bado unamwabudu huyo mbwatukaji wenu Lissu na waziri mkuu ndani ya saa72.
 
Wewe nyumbu Leo husemi lolote baada ya huyo shoga wenu kupata kipigo Cha shoga mwizi.
Mmepigwa na bado unamwabudu huyo mbwatukaji wenu Lissu na waziri mkuu ndani ya saa72.
Nani shoga kwanza???
Alafu huna mandate ya kuongelea uchaguzi wowote ule kwa sababu mwaka huu hakukuwa na uchaguzi bali uchafuzi. Wana Ccm wenzako wote wanajua mmeiba ushindi wa Lissu kwa iyo kaa kimya tu. Acha kujidhalilisha.
 
CCM imefutwa nchi nzima na CHADEMA , haikufutwa na individuals , kingine ambacho hukijui kutuhusu ni jinsi tusivyo na mswalie mtume na wasaliti , mcheki Dr Slaa atakupa taarifa zetu
Mungu ambariki Esther Matiko
 
Nani shoga kwanza???
Alafu huna mandate ya kuongelea uchaguzi wowote ule kwa sababu mwaka huu hakukuwa na uchaguzi bali uchafuzi. Wana Ccm wenzako wote wanajua mmeiba ushindi wa Lissu kwa iyo kaa kimya tu. Acha kujidhalilisha.
Kushabikia chadema inabidi ukubali kuishi kwa stress sana.

Si ukikuwa unajitapa hapa kwamba Lisu siyo Lowasa, hatamwachia Mungu, mkawa mnatoa vitisho kwa Mahela kila siku?

Haya huyo Lisu wako yuko wapi sasa?

Yani Lowasa ni bora mara mia kuliko Lisu, kwasababu Lowasa alibaki hapa hapa nchini ila Lisu yeye kakimbia kabisa. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kamanda vipi, upo? Mungu ambariki Esther Matiko
A dreamer be the one  A winner be the one  A fighter be the one.jpg
 
Back
Top Bottom