Uchaguzi 2020 PICHA: Sasa ni Rasmi CCM yazikwa Tarime, Ester Matiko aongoza sala ya mwisho

Uchaguzi 2020 PICHA: Sasa ni Rasmi CCM yazikwa Tarime, Ester Matiko aongoza sala ya mwisho

Ameondoka Mara akijua kabisa hana chake anafika mwaza akakutana na zomea tena naona mzee safari hii anaona afadhali ya 2015 uzuri lisu hana makandokando
Mwanza akazomewa? Endelea kudanganya nyumbu
 
Ameondoka Mara akijua kabisa hana chake anafika mwaza akakutana na zomea tena naona mzee safari hii anaona afadhali ya 2015 uzuri lisu hana makandokando
Anapata mshahara wa dhambi alizotenda. Wacha zimtafune tu akafie mbele.
 
labda mpiga kura awe Tumeccm , lakini vinginevyo ccm ina hali mbaya mno , ukitaka kujua haya muulize Majaliwa kisa cha kuinjinia utekaji wa wagombea jimboni kwake

Tatizo la Chadema hawana viongozi wa ngazi za chini kuendeleza kampeni za kijiji Kwa kijiji na nyumba kwa nyumba pale wagombea wa ubunge na urais wanapopita.
Mwaka 2015 nilishangaa kuna baadhi ya vituo vya uchaguzi hawakuweka mawakala tena Geita mjini.
Mwaka huu nadhani itakuwa mbaya zaidi kwa sababu ni maeneo machache sana wana viongozi ngazi ya kata na vijiji.
Wenzao CCM wana uongozi kuanzia nyumba kumi,tawi,kata hadi Wilaya nk.
 
Ikitoka post ya anayepigia chapuo CCM, mwaita upololo, kaingiza siku nenda kachukue pesa Lumumba, lakini post za mlengo Wa upinzani mnatililika kana kwamba mmeona mwezi, hivi kweli matiku ana lake msimu huu, usitishwe na mahudhulio iwe kwa CCM au upinzani wapiga kura wala hawakimbizi upepo wametulia kimya wanangoja 28/10, ninyi jitieni matumaini hewa.
 
Kwel wafanyakazi wa Lumumba
Yaani Unachekesha KITOTO kweli....Una CT SCAN na MRI ya Kuiona mioyo ya WANACCM tulio wengi nje ya Uongozi na uteule uusemao?!!!
Unakuza Mambo Kujifurahisha na kusahau kuwa chama hiki ni cha sisi wakulima na Wafanyakazi wa kawaida kabisa.....

MAGUFULI tumempa ridhaa ya Uongozi Kama tunavyotaka kumpa sasa na akimaliza ataondoka na tumpe mwingine....

CCM ni IMANI,wewe endelea KUJIFURAHISHA....
 
labda mpiga kura awe Tumeccm , lakini vinginevyo ccm ina hali mbaya mno , ukitaka kujua haya muulize Majaliwa kisa cha kuinjinia utekaji wa wagombea jimboni kwake
yaani mwaka huu mtaisoma namba kimyakimya hakuna mbunge wa cdm wala nini
 
CCM ni kama mfu hawajui hatma yao..... John na Kasimu wanafokea tu wapiga kura !CCM hawana sera... 2020 lazima Jiwe aangukie pua hana hekima wala akili.
 
Ameondoka Mara akijua kabisa hana chake anafika mwaza akakutana na zomea tena naona mzee safari hii anaona afadhali ya 2015 uzuri lisu hana makandokando
Mwanza wapi amezomewa Mkuu?
 
labda mpiga kura awe Tumeccm , lakini vinginevyo ccm ina hali mbaya mno , ukitaka kujua haya muulize Majaliwa kisa cha kuinjinia utekaji wa wagombea jimboni kwake
Jana yupo na viongozi wa dini Arusha kuomba amani uchaguzi, ilihali yeye kajipisha kwa hila za kihuni bila sababu.
Kujisafisha PM aruhusu tume irudishe washindani wake. Ni aibu na fedheha mbinu za kijima kutumika kuteka kupiga wagombea, kwa fursa pm bora angefika bei kiungwana.
 
Back
Top Bottom