Uchaguzi 2020 PICHA: Sasa ni Rasmi CCM yazikwa Tarime, Ester Matiko aongoza sala ya mwisho

Uchaguzi 2020 PICHA: Sasa ni Rasmi CCM yazikwa Tarime, Ester Matiko aongoza sala ya mwisho

Huko Mara CCM haina Chake tena Jamaa ndiyo kaharibu sana juzi alipopita anafikiri wale ni watu wa kuwafokea fokea ,wenyeji wanasema alikosa lugha ya ustaarabu hivyo lazima wamuadhibu kupitia Sanduku la Kura.
anawachimba mkwara anafikiri anawalisha
 
Ccm chini ya John imekufa. John mwenyewe ana kinywa kichafu Sana kimejaa ufedhuli na dharau.
John MAGUFULI si mwenye CCM...

Sasa inakufaje?!!!

Nyinyi Wadau,Mnakuza Sana Mambo😁😁
 
Back
Top Bottom