Uchaguzi 2020 PICHA: Sasa ni Rasmi CCM yazikwa Tarime, Ester Matiko aongoza sala ya mwisho

Uchaguzi 2020 PICHA: Sasa ni Rasmi CCM yazikwa Tarime, Ester Matiko aongoza sala ya mwisho

Yaani Unachekesha KITOTO kweli....Una CT SCAN na MRI ya Kuiona mioyo ya WANACCM tulio wengi nje ya Uongozi na uteule uusemao?!!!
Unakuza Mambo Kujifurahisha na kusahau kuwa chama hiki ni cha sisi wakulima na Wafanyakazi wa kawaida kabisa.....

MAGUFULI tumempa ridhaa ya Uongozi Kama tunavyotaka kumpa sasa na akimaliza ataondoka na tumpe mwingine....

CCM ni IMANI,wewe endelea KUJIFURAHISHA....
Mume MPA ridhaa au kajipa mwenyewe maana katoa fomu moja tuu na hakuna hata MTU mwengine alie pewa fomu

Sent from my TECNO CA7 using JamiiForums mobile app
 
Walitudanganya upinzani umekufa. Hawajui upinzani ni fikra hata mkeo au mtoto wako anaweza kuwa mpinzani.

Sent from my Infinix Zero 3 using JamiiForums mobile app
 
Mume MPA ridhaa au kajipa mwenyewe maana katoa fomu moja tuu na hakuna hata MTU mwengine alie pewa fomu

Sent from my TECNO CA7 using JamiiForums mobile app
Ndio Mana Nikasema CCM Ni IMANI...
Nilitegemea Uniulize Ni IMANI GANI?!!!
Kinyume chake Uliposikia ni IMANI ukadhani ULIYONAYO...ama UNAYOIJUA.....

Ninakuambia hv>
👉Imani ya KWETU Tunamheshimu MWENYEKITI kwa kuufuata UTARATIBU wa kwetu...tuliouasisi na kujizoeza kutoka historia ya vyama vya KIJAMAA...
👉Mwenyekiti MAGUFULI kamwe hana UWEZO wa kuiteka CCM...HAWEZI kuiteka "Imani" YA CCM...kamwe kamwe na HATOTOKEA Mwenyekiti wa HIVYO abadaa...
👆👆👆
Tuliza AKILI HAPO
 
CCM ni chama cha kijamaa katika katiba yao, but in reality ni "genge la wanyang'anyi" hahaha...
Chama kina wenyewe kile...
 
CCM ni chama cha kijamaa katika katiba yao, but in reality ni "genge la wanyang'anyi" hahaha...
Chama kina wenyewe kile...
Unajitekenya na kucheka?!!
Which reality USEMAYO?!!
 
Huko Mara CCM haina Chake tena Jamaa ndiyo kaharibu sana juzi alipopita anafikiri wale ni watu wa kuwafokea fokea ,wenyeji wanasema alikosa lugha ya ustaarabu hivyo lazima wamuadhibu kupitia Sanduku la Kura.

Mtu wa Mara hata ukimuita tu anaweza lianzisha .. wale ni shughuli aiseee...hawapendi dharau hata nukta. Bora uwachezee wahehe(ingawa nao hawapendi kudharauriwa) ..Ila sio hawa
 
Hawatusumbui ndio maana tumekomea mkendo na kurudi mjini,
 
Back
Top Bottom