Uchaguzi 2020 PICHA: Sasa ni Rasmi CCM yazikwa Tarime, Ester Matiko aongoza sala ya mwisho

Uchaguzi 2020 PICHA: Sasa ni Rasmi CCM yazikwa Tarime, Ester Matiko aongoza sala ya mwisho

Huko Mara CCM haina Chake tena Jamaa ndiyo kaharibu sana juzi alipopita anafikiri wale ni watu wa kuwafokea fokea, wenyeji wanasema alikosa lugha ya ustaarabu hivyo lazima wamuadhibu kupitia Sanduku la Kura.
Bahati mbaya sana Meko anafikiri wakurya ni sawa na wasukuma, kwamba unaweza kuwafokea wakatishika, mimi niliona mwenyewe pale kijiji cha mwitongo, hata kijana mdogo tu wa kikurya unapomwambia jambo anataka uoneshe unamuheshimu, ukileta dharau anakubadirikia kama paka dume, wanawake nao hawako nyuma, ukimtongoza ukaenda nae chumbani anaweza kukubadirikia ukatoka chumbani umeshika nguo zako mkononi, ninafurahi jinsi meko alivyoharibu kuwafokea hao jamaa kwani ameifuta ccm huko yeye mwenyewe.
 
Safi sn Mariko..... Kuna mikoa mingi watz sio mazezeta kabisa.....
Arusha
Mwanza
Mbeya
Iringa
Kilimanjaro
Kagera kidogo
Mara
Dar
Singida inaenda kua
Unguja
Nadhani uitoe mwanza, wakazi wa eneo hili lote (mwanza na shinyanga) hawawezi kuungana kusema kero zao, wamezoea kusema "ndoho tabu",
utaongeza mkoa wa morogoro
 
Yaani Unachekesha KITOTO kweli....Una CT SCAN na MRI ya Kuiona mioyo ya WANACCM tulio wengi nje ya Uongozi na uteule uusemao?!!!
Unakuza Mambo Kujifurahisha na kusahau kuwa chama hiki ni cha sisi wakulima na Wafanyakazi wa kawaida kabisa.....

MAGUFULI tumempa ridhaa ya Uongozi Kama tunavyotaka kumpa sasa na akimaliza ataondoka na tumpe mwingine....

CCM ni IMANI,wewe endelea KUJIFURAHISHA....
Imani yaweza kuwa ya mashetani na nguvu za giza, ndio maana mnaongoza kwa mauaji ya watu wasio na hatia
 
Jaman navyompenda Henche, wanatarime please msiniangushe! Mpeni kura japokuwa mmeshatishiwa km mkichagua Chadema hakuna maendeleo ila Henche ni mwanaume na anafaa sana.
 
Mleta mada kaukimbia uzi.
Ester wa Covid 19 si ndo huyu aliefuta CCM Tarime?
CCM imefutwa nchi nzima na CHADEMA , haikufutwa na individuals , kingine ambacho hukijui kutuhusu ni jinsi tusivyo na mswalie mtume na wasaliti , mcheki Dr Slaa atakupa taarifa zetu
 
Back
Top Bottom