mbenge
JF-Expert Member
- May 15, 2019
- 4,864
- 10,483
Uharamia, ufedhuli, udhalimu na uovu wa CCM sasa umeshapata dawa yake ya muarobaini.Shule za kata zimewatoa vijana wengi tongotongo la ujinga, sasa wamekuwa ndiyo chachu ya mabadiliko kwa wazazi na walezi wao. RIP CCM, makada walikupenda, lkn Watanzania wamewaona kuwa wana CCM ni vioja na mahoka tu, na wala hawastahili kuiongoza nchi yetu.Huu ni uzinduzi wa Kampeni za mgombea ubunge wa jimbo la Tarime Mjini kwa tiketi ya Chadema , ambaye pia ni Mwenyekiti wa kanda ya Serengeti
View attachment 1561090View attachment 1561091View attachment 1561092