Uchaguzi 2020 PICHA: Tofauti ya umati wa watu kati ya CHADEMA na CCM

Uchaguzi 2020 PICHA: Tofauti ya umati wa watu kati ya CHADEMA na CCM

Mambo yanazidi kuwaendea kombo CCM, CHADEMA wanakuja kwa kasi ya ajabu na kuwafunika CCM kila uchao. Mikutano ya CHADEMA imejaa vijana ambao huenda peke yao kwa mapenzi yao kwa chama tofauti na mikutano ya CCM ambayo amri hutolewa kutoka juu kwa njia ya barua kuwataka wafanyakazi kuhudhuria. CCM hutumia malori na mabasi kusomba watu kutoka vijijini kama ilivyorekodiwa huko Bariadi hapa chini.

Hapa ni Mbeya 5th September 2020 ufunguzi wa kampeni kanda ya Nyasa na Mh. Tundu Lissu.
View attachment 1559996
Hapa ni Bariadi nyumbani kwa Magu cheki malori na mabasi ya kusomba watu.
View attachment 1559993
Wananchi wameyachoka mashetani ya CCM, safari hii wanakwenda na Lissu mpaka kieleweke. MaCCM mwaka huu mtafute vitanzi vya kutosha mkajinyonge, mamamae zenu!
 
😂😂😂 mpaka uchaguzi uishe tutaona mengi
 
Back
Top Bottom