Elections 2015 Picha: Tulichokishuhudia katika mapokezi ya Magufuli Jijini Mwanza, upinzani unafutika

Elections 2015 Picha: Tulichokishuhudia katika mapokezi ya Magufuli Jijini Mwanza, upinzani unafutika

Wenye bodaboda wanabendera lakini hawajavaa nguo za kijani kwanini?! au wamewezeshwa mafuta full tank?
Na kwa idadi ya pikipiki za mwanza, mbona izo ni ka za kituo kimoja tu cha Pasiasi?!
 
kama habari ndiyo hiyo ccm ishakufa mapokez ya kitoto sana
 
CCM mujiandae kisaikolojia
Mleta habari anajifariki,
Amezidiwa na umati anaoweza kupata INSPEcTa Haroon pamoja na kutokuwa ktk game kwa miaka
 
Wingi wa watu haimaanishi wote watampa kura
Subirini lowassa atakavokipasaua chama.
 
Tunasubiri na huyo wa UKAWA apitishwe, ili tulinganishe mapokezi yake na mh Magufuli. Ni ngumu kutoa hitimisho kwa kuangalia upande mmoja tu.
 
MwanaDiwani mapokezi ya Mbunge Silinde alipotua Mbozi ni makubwa zaidi kwa uwingi wa watu zaidi ya Magufuli akiwa Mwanza!
 
Last edited by a moderator:
Nilikuwa nasubiri huu umbea..nimeangalia ITV mpiga picture kajitahidi kuchukua usawa wa watu ila alikuwa napaotea km wewe hapa jamaa hakuwa hata na watu wa wenye ktk mkutano wa kawaida jimboni.Sidhani km kuna mbunge wa CDM anaweza kuwa na watu kidogo km magufuli tena ktk ukanda wake.

lazima ifike hatua tuwe wakweli hata kama tuko upinzani, Magufuli alikuwa na watu wengi sana.
 
Wewe Ni FARAsi wa Sengerema. Hii ni aibu uloweka hapa. Mkajifanya kufunga barabara ili shughuri zikwame watu wakose pa kwenda. Hebu tafuta Picha ya lowasa siku ile kaenda pale Gandhi hall kisha linganisha na za huyu msagajiwe.
Lowassa alishakatwa!
 
Nilikuwa nasubiri huu umbea..nimeangalia ITV mpiga picture kajitahidi kuchukua usawa wa watu ila alikuwa napaotea km wewe hapa jamaa hakuwa hata na watu wa wenye ktk mkutano wa kawaida jimboni.Sidhani km kuna mbunge wa CDM anaweza kuwa na watu kidogo km magufuli tena ktk ukanda wake.
Vipi kibaka mbona unahaha tulia dawa iingie mmezoea kuibia watanzania sasa mwisho simui mtapita mlango gani yule mzee wenu mwenye kideli kesho anajiunga na nyie mwandae na dawa zake za kutosha kabisa.
 
Upinzani hauwez kufutika kwa mgombea kupokewa na watu wengi!
Ungeona siku wenje kachukua fomu sijui ungesemaje?! Subir oktoba uje utuambie haya uliyoandika
 
mi nilijua barabara zilifungwa kumpisha Magufuli kumbe picha zinaeleza zenyewe hana jipya kanda ya ziwa kwa kweli Magufuli ana kazi kushinda uchaguzi na pia naomba picha hizi ziwe kama kumbukumbu siku ukawa nao wakienda uko tulinganishe giza na mwanga
 
Hao ni watu wengi sana, tatizo watu wanashindwa tambua kuwa hawakuwa wamekusanyana sehemu moja kama ktk mkutano!
Ni wengi sana!!
 
Busara hakujaliwa ,na pengine hakuwahi omba kwa Mungu wake kwani kafika hapo kwa kiherehere(Nyapara) ,Sasa Mungu yupi kigeugeu amjalie sasa hivi?

Mkuu inaonekana umeumia sana na mapokezi hayo. Pole sana
 
Upinzani hauwez kufutika kwa mgombea kupokewa na watu wengi!
Ungeona siku wenje kachukua fomu sijui ungesemaje?! Subir oktoba uje utuambie haya uliyoandika
Walikusanyika sehemu moja, wangetawanywa barabarani wangeonekana wachache sana, yaani watawanywe toka airport mpaka karibu na mjini, wangekuwa mmoja mmoja!
 
Wingi wa watu haimaanishi wote watampa kura
Subirini lowassa atakavokipasaua chama.
Lowasa mwenyewe kapasuka atawezaje kupasua chama kwanza tunataka aanze kulipa kodi na zile biashara zake haramu tunaanza kudili naye atakufa mapema sana.
 
Nilikuwa nasubiri huu umbea..nimeangalia ITV mpiga picture kajitahidi kuchukua usawa wa watu ila alikuwa napaotea km wewe hapa jamaa hakuwa hata na watu wa wenye ktk mkutano wa kawaida jimboni.Sidhani km kuna mbunge wa CDM anaweza kuwa na watu kidogo km magufuli tena ktk ukanda wake.

Chuki ziyawamaliza
 
MwanaDiwani

Mkuu wacha kujitia moyo na kudanganya watu,tv zimeonyesha hakuna tofauti yoyote ilioyokuwepo na mikutano mingine ya ccm,mafuso yamefanya kazi ya kusomba watu toka vijijini tangu juzi,na matokeo yake wingi wa watu umeshindwa nata na mkutano wa mbunge mbunge wa cdm jimboni kwake.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom