Elections 2015 Picha: Tulichokishuhudia katika mapokezi ya Magufuli Jijini Mwanza, upinzani unafutika

Elections 2015 Picha: Tulichokishuhudia katika mapokezi ya Magufuli Jijini Mwanza, upinzani unafutika

mimi ni makini n abest ktk kuangalia hiden details ktk picture na hapa ni mequote ili ukija punguza iwe too late picture zako tuu zinaonyesha kukata tamaa kwako.magufuli na ccm kwa ujumla.

Makofuli yamegeuka makomeo
 
mimi ni makini n abest ktk kuangalia hiden details ktk picture na hapa ni mequote ili ukija punguza iwe too late picture zako tuu zinaonyesha kukata tamaa kwako.magufuli na ccm kwa ujumla.
Uliposomea TCU au NACTE wakawanyang'anye leseni. Hilo jicho lako halioni wala kusoma huo umati?
 
Ccm kwenye kampeni zao huwa wanapata shida sana inawalazimu waanze kukodi watu wahudhulie mikitano yao hii inaosheja kiasi gani hawa kubariki na hilo nao wanalijua vizuri
Mm kuna jamaa yangu mmoja wa ccm alilazimishwa akachukue fomu ya kugombea ubunge ccm
Yule jamaa nilivyo muuliza jamaa kwanini umeamua hivyo na haugopi kuabika kwa kwasababu kwa namna yoyote huwezi kupita piga ua hata iweje

Jamaa kaniambia mm mwenyewe kinaniuma sana kijana kama mm kuwepo ccm mm kwa nje naonakana ccm lakini roho yangu yote ipo chadema nafanya yote haya ili kuwafurahisha mabosi wangu na kulinda kibarua
Hapo kwenye huo mkutano sio wote wanaipenda ccm ila wengi tu wamelazimishwa. Na usione matabasamu yote hayo ni matabasamu ya kununuliwa.
 
Hivi jamani wana jamvi hakuna mwenye picha ya mkutano wa juzi mjini tunduma wa mbunge silinde tuwaonyesha hawa magamba tofauti kubwa iliyopo kati ya umati wa watu na huo mkutano wa mgombea urais wa ccm?mwenye picha hiyo tafadhali aitupie tumalize kazi ya mwanadiwani
 
Umeshasema Wafuasi Wa Ccm Sasa Wewe Ulitalajia Wafuasi Wa Ccm Wampokee Slaa? Na Hao Wanaccm Wapo Myaka Yote Na Sasa Hivi Wanapungua Kwa Kasi Wengine Wanakufa Wengine Wanahama, Huku Vijana Wanaofikisha Miaka 18 Wote Wanaibukia Chadema, Je! Mwaka Huu Mtapona?

Mkuu nimeamini ccm sasa imevurugwa vya kutosha
 
Umati huu kweli unaweza ulinganisha na ule wa EL wakati anaomba udhamini
 
nan kakuambia upnzan utafutka acha kuwa na fkra potofu na inahtajka ujpange kwanza katka kuandka hz kurasa za magazet ju znatuboa sana
 
Mcheza kwao hutuzwa.. ! Magufuli asiende sana mwanza ataonekana ni mbaguzi,...bora angeanzia nyanda za juu kusini.

Mwanza ina mamilioni ya watu,achilia mbali watu waliosombwa na mabus toka musoma,na simiyu,shinyanga,mimi nipo hapa kisesa tangu juzi mabus yanapita hapa na wana ccm yamejazwa kama magunia ya pamba kuelekea mjini mwanza
 
Mwanadiwani
Hachanganyi na za kwake,
Ili ajue kuwa Upinzani unafutika atambue kuwa ccm bado inawanachama Mwanza ambao wengi walikusanyika kutoka Mwanza,sengerema,Magu na mitaa ya jirani waliagizwa na viongozi wa mkoa kuhidhuria kwa wingi na walilipwa!

Pili,ukumbuke pia waliovaa sare ndio wengi,

Sasa utajua upinzani umekufa Mwanza kampeni ikianza! Tusubiri tu
 
Nilichokiona Monduli kwa Lowassa jana kwa madiwani wote wa jimbo hilo kuhama ccm na kuamia chadema, hakika ccm inafutika
 
Ccm kwenye kampeni zao huwa wanapata shida sana inawalazimu waanze kukodi watu wahudhulie mikitano yao hii inaosheja kiasi gani hawa kubariki na hilo nao wanalijua vizuri
Mm kuna jamaa yangu mmoja wa ccm alilazimishwa akachukue fomu ya kugombea ubunge ccm
Yule jamaa nilivyo muuliza jamaa kwanini umeamua hivyo na haugopi kuabika kwa kwasababu kwa namna yoyote huwezi kupita piga ua hata iweje

Jamaa kaniambia mm mwenyewe kinaniuma sana kijana kama mm kuwepo ccm mm kwa nje naonakana ccm lakini roho yangu yote ipo chadema nafanya yote haya ili kuwafurahisha mabosi wangu na kulinda kibarua
Hapo kwenye huo mkutano sio wote wanaipenda ccm ila wengi tu wamelazimishwa. Na usione matabasamu yote hayo ni matabasamu ya kununuliwa.

Huo ndio ukweli kuhusu ccm
 
Back
Top Bottom