Picha: Tunda Man na Nyota Ndogo wanaswa

Picha: Tunda Man na Nyota Ndogo wanaswa

warumi

R I P
Joined
May 6, 2013
Posts
16,218
Reaction score
18,440
Kabang!

Memba wa Kundi la Tip Top Connection lenye maskani yake Manzese jijini Dar, Khalid Ramadhan ' Tunda Man ' na mwanamuziki wa nchini Kenya, Mwanaisha Abdallah ' Nyota Ndogo ' wamenaswa laivu wakiwa kwenye pozi la mahaba niue.

Kwa mujibu wa chanzo chetu makini kutoka nchini humo, wawili hao walikuwa wakijiachia nyumbani kwa Nyota Ndogo huku kukiwa na madai mazito kuwa eti wanapika na kupakuwa. Ilidaiwa kwamba Tunda Man anapokwenda Kenya huwa anafikia nyumbani kwa Nyota Ndogo.

"Wasanii wengi wanakuja Kenya wanajifanya kuja kufanya shoo kumbe wanawafuata wanawake zao ila mimi namsihi Tunda Man ajiangalie, yasije yakamkuta kama ya wasanii wengine walivyopewa masaa ishirini na nne wasikanyage Kenya tena, " kilisema chanzo hicho.

Baada ya kupata maelezo hayo, kachero wa Ijumaa Wikienda alimvutia waya Tunda Man na kumpa hongera ya kummiliki Nyota Ndogo ambapo alikuja juu na kudai kuwa anahisi anataka kuchafuliwa .

"Kaka nadhani unajua kuwa nina mke na sijawahi kupata skendo kubwa kama hiyo, Nyota Ndogo namheshimu kama dada yangu na sijawahi hata kufikiria kumtongoza please achana na hiyo habari, " alijitetea Tunda Man bila kujua tuna picha zao za mahaba.
attachment.php


Chanzo: GlobalPublisherz
 

Attachments

  • 1409203234259.jpg
    1409203234259.jpg
    71.3 KB · Views: 3,835
  • Thanks
Reactions: amu
Huu umbea nao shida sana sasa kama anatoka nae hatok nae sis yann.mbona kuna mambo mengi inaabid yaandikwe hawaandiki
 
Mimi hiyo miguu tu ya nyota ndogo yani nipo hoi apa, Dinazarde kuja uone kwato za mbuni uku

hahahaha kweli kabisa yaani hyo miguu yaani kama katoka bush vile daah hongera tunda,sasa sijui tunda huwa anakosa hela za lodge akaamua ajiweke hapo kusave mpunga hahaha
 
Last edited by a moderator:
Mimi hiyo miguu tu ya nyota ndogo yani nipo hoi apa, Dinazarde kuja uone kwato za mbuni uku

Ngachokaaaa mieee yaan! !! Ila huku nyuma kafungasha sura sasa na weusi wa kijaluo hata usoft hanaa
 
Last edited by a moderator:
Mwe kweli Cheusi Dawa na Cheupe Mangala.Nyota ndogo utadhani alipinduka na gari la kiwi?
 
Mimi miguu tu dah kama beki tatu wa babu kule kimbiji, na yeye hata kutengeneza kucha miguu inatisha bhana kama kwato

Mmmhhhh bas atafute hata ka losheni ateleze ngozi mweee wanaume weupe nao kwa mademu mazombie hawajambo
 
Hakuna cha matumaini ila ukweli ndo huo.....huyo nyota ndogo kajisusa tu.Uweusi ndo unamfanya ashindwe hata kusugua gaga???

Yaan hapo usipoangalia vizurii utazani Tunda yupo peke yake tu
 
mbona mi namwona tundaman na matumaini wa kiwewe! au macho yangu yapo likizo?
 
Back
Top Bottom