Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Picha ya Tundu Lissu akiwa ameuweka mkono juu ya kichwa na mmoja kumshika mkono mtoto wa shule iliyowavutia wengi.
Tumpe ya utekaji .Dogo karithi roho yaajabu Sana.
simba ,kurithi roho ya simba ni ajabuDogo karithi roho yaajabu Sana.
Siyo ajabusimba ,kurithi roho ya simba ni ajabu
Kina nani hao chief?Nyie ndio mnaishi kwa kulipwa posho za tonetone zinazochangwa na wajinga. Mmekusanyana humu ku-justify posho
Huyu dogo anabahati ya kupigwa picha na raisi mtarajiwaPicha ya Tundu Lissu akiwa ameuweka mkono juu ya kichwa na mmoja kumshika mkono mtoto wa shule iliyowavutia wengi.
View attachment 3294457
kwann useme ajabu neno ajabu limetumika kwa perspective ipi "fafanua"Siyo ajabu
Nyie c mnaishi Kwa pesa za mwaarabuNyie ndio mnaishi kwa kulipwa posho za tonetone zinazochangwa na wajinga. Mmekusanyana humu ku-justify posho
Na wewe ukiwemoKina nani hao chief?
🤣 anateseka ⚰️Nyie c mnaishi Kwa pesa za mwaarabu
Roho ya ajabu ya kuto kuogopa lisasi wala watekaji.kwann useme ajabu neno ajabu limetumika kwa perspective ipi "fafanua"
Nyie ndio mnaishi kwa kulipwa posho za tonetone zinazochangwa na wajinga. Mmekusanyana humu ku-justify posho
Umejuaje?Na wewe ukiwemo
Mliahidi zitaenda ngazi ya chini, mlisema, kwa kigezo Mbowe alikuwa hazipelekiKwani lengo la hizo hela ni nini ?
Kusikia wanajifanya hawasikii,hata picha pia hawaoni(mkinyamaza nyie watoto wadogo wataongea),Ukombozi wa kweli upo karibu.Shoka liko shinani linakata na dude lazima lianguke.Picha ya Tundu Lissu akiwa ameuweka mkono juu ya kichwa na mmoja kumshika mkono mtoto wa shule iliyowavutia wengi.
View attachment 3294457
Ngazi ya chini ni wapi?Mliahidi zitaenda ngazi ya chini, mlisema, kwa kigezo Mbowe alikuwa hazipeleki