Expensive life
JF-Expert Member
- May 2, 2020
- 4,095
- 13,016
No reform no election
Inakuuma? No reform no election.Nyie ndio mnaishi kwa kulipwa posho za tonetone zinazochangwa na wajinga. Mmekusanyana humu ku-justify posho
Maua 💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐💐🌻💐🌻💐🌻💐💐🌻🌻🌻🌻🌻🌻💐🌻🌻🌻Lissu ni tunu ya taifa
Hahahahaahaaa!!Nyie ndio mnaishi kwa kulipwa posho za tonetone zinazochangwa na wajinga. Mmekusanyana humu ku-justify posho
Huyo mtoto hajui tu hata huyo jamaa ni nani, ye maskini ya Mungu kadhani ni msanii fulani.Picha ya Tundu Lissu akiwa ameuweka mkono juu ya kichwa na mmoja kumshika mkono mtoto wa shule iliyowavutia wengi.
View attachment 3294457
Yes hii ni picha nzuri sana.nimeipenda ipo so real.Picha ya Tundu Lissu akiwa ameuweka mkono juu ya kichwa na mmoja kumshika mkono mtoto wa shule iliyowavutia wengi.
View attachment 3294457
Dogo anakula madini By Diffusion Means😅😅Picha ya Tundu Lissu akiwa ameuweka mkono juu ya kichwa na mmoja kumshika mkono mtoto wa shule iliyowavutia wengi.
View attachment 3294457
Bado mna maumivu tu? Endeleeni kuumia watanzania wakomboleweMliahidi zitaenda ngazi ya chini, mlisema, kwa kigezo Mbowe alikuwa hazipeleki
Mumeo ana hasara😁Nyie ndio mnaishi kwa kulipwa posho za tonetone zinazochangwa na wajinga. Mmekusanyana humu ku-justify posho
Ni tundu la TaifaLissu ni tunu ya taifa
Wasimsumbueeeeee tuuuiPicha ya Tundu Lissu akiwa ameuweka mkono juu ya kichwa na mmoja kumshika mkono mtoto wa shule iliyowavutia wengi.
View attachment 3294457
Kweli kabisa....Mungu amlindeHuyu ndiye Rais wetu