PICHA: Tundu Lissu anavaa kishamba sana utafikiri wanasiasa wa wakati wa ukoloni

Sijajua sababu ya wanaume kuendelea kupungua kiasi hiki.
 

ulitaka nae avae gauni kama mama yako mkyundu kweli wewe
 
Newton alikuwa anavaa kiaina, kwake unakutana na vitabu mlangoni. Huyo kichwani kumekaaje??? Wanaojikwatua sana kichwani ni karibu na ziro.
 
We can relate. Tumeielewa swaga ya Lissu.

95% ya Watanzania wanavaa makoti ya mitumba yaliyowazidi mikono na miguu na mashingo.

We don't give a flying fvck about custom tailored business suits and fashion statements.

We are laser focused on:

/ KATIBA MPYA

/ TOSATA '-Tokomeza Samia Tanganyika

/ FUTA kinga ya TISS na Polisi

/ VUNJA muungano

/ BATILISHA mauzo ya bandari


/ ANZISHA dawati la Mwendesha Mashtaka ofisi ya CAG

Fashion statements and sex symbols are the least of our worries.
 
Mtoa mada ni mshamba😂😂
 
Anayemshauri Lissu kuhusu mavazi ni kidampa mmoja maskini asiyeweza hata kumudu gharama ya internet yenye kasi na isiyo na ukomo badala yake anageukia kujadili mavazi ya mwanaume mwenzie.

Kuna siku utasema hupendezwi na ndevu za Lissu utadhani wewe ni mkewe .

Hebu anza kujikwamua upate hata internet ya uhakika utajifunza vitu vingi zaidi .

Thread 'VODACOM naomba mnisaidie kwanini Mb zangu zinakwisha Haraka pasipo matumizi utafikiri kuna jini linakula?' VODACOM naomba mnisaidie kwanini Mb zangu zinakwisha Haraka pasipo matumizi utafikiri kuna jini linakula?
 
Nduguyangu Luka, ni mtu na familia huyu nduguyetu bwana Antipasi, hujafa hujaumbika, alikuwa mzima na suti zilikuwa zinamkaa vizuri tuu kabla ya kupatwa na dhahama ya kumiminiwa risasi na kutenguliwa mgongo na kiuno na miguu. Baada ya kutenguliwa viungo, hata akavaa suti gani haitampendeza kwa vigezo vyako. Kwetu sisi tunamwona mchangamfu na uso wake umejaa nuru ya matumaini ya maisha na hivi ndio vya muhimu sana kwetu wengine.
 

Kijana usijijengee maadui wa kisiasa bado una safari ndefu.

Kumbuka mama yako ana miaka mitano tu ya kuwa madarakani .

Na ukumbuke mama yako sio mtanganyika na hata Zanzibar hakubaliki .
Na ukumbuke hata ndani ya chama chenu hakubaliki kivile .
Na ukumbuke kundi litakalokuja ndani ya CCM au upinzani halikubaliani na siasa za uchawa na upigaji .

Yaani hata kama 2030 CCM itashinda lakini kundi litakaloshinda sio kundi linalokubaliana na siasa zako Lucas ,hilo amini usiamini . CCM ina vyama vingi ndani yake ndiyo maana ya Chama cha mapinduzi .Awamu ijayo ya saba itakua ni awamu ya siasa ngumu . Machawa wote mtakimbiana na mtalia kilio cha 'usaga meno maana hata wapinzani mmewaumiza achilia mbali nyie wenyewe mmetumia dola kuwadhibiti team ya wazalendo Mkabaki Machawa na wasanii na wapiga dili .
Mark my words .

Alikua Nyerere mtata akaja Mwinyi soft.
Akaja mkapa mtata akafuata Kikwete soft .
Kikaingia Chuma kikatema Cheche akaja Dr.Samia Soft.

Awamu itakayofuata iwe ni Tundu Lisu au Makonda ,Au Polepole au Ndugai au kundi la hao watu akiwemo mpina wote ni watata na hawakwepeku kamwe.

Kwa hiyo hizi siasa zako za hovyo hovyo zisizo na tija kwa Taifa zaidi ya kumpamba mtu binafsi na masifa ambayo hata Mungu humsifii kwa kiwango hicho au za kutweza watu kwa kiwango cha kutoa utu wa mtu zitakugjarimu vibaya mno .

CCM ya mama haina tena miaka kumi mbele . Ni very Corrupt Kuelekea uchaguzi na kwa sababu Faraoh alipotaka kuanguka hakuona mbele aliamua kuwafuata Wana wa Israel nyuma ili awarudishe Misri .Hata bahati ilipogawanyika hakujiuliza ni vipi maji yagawanyike yaache njia ya kupita ,badala yake alipita kama kipofu na kuangamia.

Kumbuka hata vyombo vya dola ukikaa nao wanasema wazi kuwa siku Katiba itakapobadilika na kuleta tume huru, CCM itaanguka maana haikubaliki zaidi ya kutumia polisi na usalama wa Taifa .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…