residentura
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 8,146
- 11,434
Ndipo CCM wamelifikisha hapa hili Taifa.Unataka uige kwa mwanaume mwenzako? Uta...
Vijana wa hovyo kama huyu Lucas Mwashambwa ndiyo wanaopendwa na CCM.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndipo CCM wamelifikisha hapa hili Taifa.Unataka uige kwa mwanaume mwenzako? Uta...
Sijajua sababu ya wanaume kuendelea kupungua kiasi hiki.Ndugu zangu Watanzania,
Unapokuwa kiongozi mkubwa inategemewa uwe smart kwa kila kitu au kwa mambo mengi sana. Kuanzia uvaaji wako wa mavazi, mpangilio wa nguo wa ipi ivaliwe wakati gani na katika tukio lipi na hata muonekano tu wa rangi ya nguo.
Unapokuwa kiongozi mkubwa hata ukataji wako tu wa nywele ni lazima uakisi ukumbwa wa nafasi yako kiuongozi. Siyo kiongozi unakata nywele kihuni huni tu Utafikiri ulitegesha tu kichwa kwa kinyozi anayejifunza kunyoa huku wewe ukiwa umefumba macho Utafikiri unakwepa vumbi.
Hata ufungaji tu wa mkanda wako kiunoni ni lazima uwe wa makini. Na siyo unafunga suruali Utafikiri mkanda ni mdogo huku suruali likiwa limekunjamana Utafikiri lilikaliwa na abiria au uliweka kichwani ulipokuwa umelala usiku au Utafikiri ulilala nalo kwenye Mkeka.
Hata namna ya kukaa tu kwenye kiti uwapo mahali popote pale kuna mikao yake. Na siyo unakaa kwenye kiti mbele ya Camera utafikiri unaoto moto umetandaza miguu Utafikiri upo Mwenyewe. Kiongozi wewe ni wa mfano na hivyo inahitaji umakini sana.
Sasa ukimuangalia Lissu unaona ni mtu ambaye yupo kishamba sana, ni mtu ambaye bado ukijiji haujamtoka kichwani. Unajua mtu anaweza akatoka kijijini na kuishi mjini lakini akawa bado ana kijiji na ukijiji kichwani mwake ,akawa bado ana mapori kichwani na akilini yanayohitaji kufyekwa.
Embu Tazama hapa Lissu ambaye ndiye Anajiita Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa .Embu angalia hilo koti lake Utafikiri alipimwa mtu mwingine halafu ndio akashonewa na akavalishwa lissu. Kiukweli Lissu anasikitisha sana. Na hapo ni msomi ambaye amesoma mpaka Ulaya na kuzunguka Ulaya lakini haya ndio Makoti yake anayovaa leo mwaka 2025. Halafu eti anataka awe Rais. Sijui ili amuongoze Nani.
Angalia hapa👎View attachment 3252722View attachment 3252848
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Ndugu zangu Watanzania,

Kuna laana inakusumbuaView attachment 3252927
ulitaka nae avae gauni kama mama yako mkyundu kweli wewe
Huyu mtindiga ndiye wa kuhumu uvaaji wa wengine kweli?Onyesha
Naona unaokoteza picha za watu kutoka stendi unakoshinda kutwa nzima ukipiga debe na kuleta humu jukwaani.Huyu mtindiga ndiye wa kuhumu uvaaji wa wengine kweli?
View attachment 3252927
ulitaka nae avae gauni kama mama yako mkyundu kweli wewe
Hujatajwa hapo kumbe unajijua mwenyewe, shwaini wa kijani wewe.Naona unaokoteza picha za watu kutoka stendi unakoshinda kutwa nzima ukipiga debe na kuleta humu jukwaani.
Kwani wapi nimesema ni mimi. Au umevurugwaHuyu
Hujatajwa hapo kumbe unajijua mwenyewe, shwaini wa kijani wewe.
Unajistukia bwege wewe.Kwani wapi nimesema ni mimi. Au umevurugwa
Ninyi endeleeni na matone tone jangwani huko. Sisi CCM tupo kwenye chemichemi isiyokatika Masika na kiangazi.Huyu Chawa TONE TONE imemuuma sana.
Mtoa mada ni mshamba😂😂Ndugu zangu Watanzania,
Unapokuwa kiongozi mkubwa inategemewa uwe smart kwa kila kitu au kwa mambo mengi sana. Kuanzia uvaaji wako wa mavazi, mpangilio wa nguo wa ipi ivaliwe wakati gani na katika tukio lipi na hata muonekano tu wa rangi ya nguo.
Unapokuwa kiongozi mkubwa hata ukataji wako tu wa nywele ni lazima uakisi ukumbwa wa nafasi yako kiuongozi. Siyo kiongozi unakata nywele kihuni huni tu Utafikiri ulitegesha tu kichwa kwa kinyozi anayejifunza kunyoa huku wewe ukiwa umefumba macho Utafikiri unakwepa vumbi.
Hata ufungaji tu wa mkanda wako kiunoni ni lazima uwe wa makini. Na siyo unafunga suruali Utafikiri mkanda ni mdogo huku suruali likiwa limekunjamana Utafikiri lilikaliwa na abiria au uliweka kichwani ulipokuwa umelala usiku au Utafikiri ulilala nalo kwenye Mkeka.
Hata namna ya kukaa tu kwenye kiti uwapo mahali popote pale kuna mikao yake. Na siyo unakaa kwenye kiti mbele ya Camera utafikiri unaoto moto umetandaza miguu Utafikiri upo Mwenyewe. Kiongozi wewe ni wa mfano na hivyo inahitaji umakini sana.
Sasa ukimuangalia Lissu unaona ni mtu ambaye yupo kishamba sana, ni mtu ambaye bado ukijiji haujamtoka kichwani. Unajua mtu anaweza akatoka kijijini na kuishi mjini lakini akawa bado ana kijiji na ukijiji kichwani mwake ,akawa bado ana mapori kichwani na akilini yanayohitaji kufyekwa.
Embu Tazama hapa Lissu ambaye ndiye Anajiita Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa .Embu angalia hilo koti lake Utafikiri alipimwa mtu mwingine halafu ndio akashonewa na akavalishwa lissu. Kiukweli Lissu anasikitisha sana. Na hapo ni msomi ambaye amesoma mpaka Ulaya na kuzunguka Ulaya lakini haya ndio Makoti yake anayovaa leo mwaka 2025. Halafu eti anataka awe Rais. Sijui ili amuongoze Nani.
Angalia hapa👎View attachment 3252722View attachment 3252848
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Mvaa makoti makubwa ndio mshambaMtoa mada ni mshamba😂😂
Nduguyangu Luka, ni mtu na familia huyu nduguyetu bwana Antipasi, hujafa hujaumbika, alikuwa mzima na suti zilikuwa zinamkaa vizuri tuu kabla ya kupatwa na dhahama ya kumiminiwa risasi na kutenguliwa mgongo na kiuno na miguu. Baada ya kutenguliwa viungo, hata akavaa suti gani haitampendeza kwa vigezo vyako. Kwetu sisi tunamwona mchangamfu na uso wake umejaa nuru ya matumaini ya maisha na hivi ndio vya muhimu sana kwetu wengine.Ndugu zangu Watanzania,