PICHA: Tundu Lissu anavaa kishamba sana utafikiri wanasiasa wa wakati wa ukoloni

Watu wengi wa CCM vichwani hawana akili kabisa ndio maana uwezo wao huwa ni ku deal na vitu vidogo vidogo ambavyo havina maana na hiyo ndio kazi kubwa ya wajinga
Kwani CCM ndio wamemshonea hilo koti? Yaani nyie makosa yenu hadi ya kushindwa kuvaa mnaisingizia CCM
 
HUYU MWASHAMBA MSHAMBA KWELI KWELI. KIPI BORA UVAE MITAI NA MISUTI MIZURI KM YA AKINA WEZI MADELU NA UFILISI NCHI AU UVAE OVYO KM TAL AU MAGWANDA KM TRAORE NA NCHI IENDELEE? KUBWA JINGA NA OVYO
 
Tunahitaji kilichomo kichwani mwake zaidi kuliko maonyesho
 
HUYU MWASHAMBA MSHAMBA KWELI KWELI. KIPI BORA UVAE MITAI NA MISUTI MIZURI KM YA AKINA WEZI MADELU NA UFILISI NCHI AU UVAE OVYO KM TAL AU MAGWANDA KM TRAORE NA NCHI IENDELEE? KUBWA JINGA NA OVYO
Kumbe hata wewe una kili kuwa kavaa vibaya na Hovyo?
 
sio kuvaa tu, hata bia alikunywa. tunaomba awe serious hasa linapokuja suala la msingi kama la jana na dunia nzima inakuangalia. kama ulimwangalia vizuri, alikuwa anachekacheka tu, hatoi point yeyote, hakuongea cha maana na analeta utani utani tu bila utaratibu. nadhani chadema muache pombe au la kamwulizeni DJ MBOWE ilishawahi kumgarimu. huwezi kutazamiwa kuongea mambo ya msingi ukaja pale unachekacheka tu. I am your supporter and you will have my vote lakine kati ya siku nilitegemea ungehutubia dunia ilikuwa jana, bora wangempa hata Heche tu nafasi ya kuongea,ajabu yake hata protokali walikosea, MC ndiye alimkaribisha lema kama sikosei amkaribishe mwenyekiti, na hawakumpa Heche nafasi.w alitakiwa wamkaribishe makamu mwenyekiti aongeee na amkaribishe mwenyekiti. kuweni serious.
 
Personal judgement kwa dunia ya sasa sio nykt zake.

Huyo unajua anavaa vingap mwilin , unazn mwili wake na aliyopta utakakuw saw .
 
Sina hasira nahoji ww unae kosoa mavazi , olewa e ukampangie nguo. Punguza povu kenge wahed ww
Mpangieni nyie mliomchagua . Mimi niliona hafai kuwa kiongozi na ndio maana nilikuwa nampinga sana . Sasa nyie mkamchagua kwa Mihemuko na sasa mnaona matokeo ya Mihemuko yenu.
 
Suala uvaaji na unyoaji ni nyeti sana kwa kiongozi/public figure/celebrity. Ukivaa hovyo hovyo utaigwa na jamii kwa kujua huo ndio mtindo mzuri. Utaipotosha jamii namna unavyovaa, kunyoa na mitindo mingine ya ajabuajabu isiyopendeza. Kiongozi ni lazima uwe smart katika kuvaa na kukata nywele ili usilete utata kwa wanaokutazama
 
Umeongea hoja nzito sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…