LOTH HEMA
JF-Expert Member
- Dec 6, 2015
- 18,611
- 27,615
Mama atakuwa ana washauri wa kumshauri namna ya kuvaa mitindo gani kulingana na mahali atakapojitokeza kwa hadhi yakeMama Anavaa kwa mpangilio unaoeleweka na kwa kulingana na tukio
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mama atakuwa ana washauri wa kumshauri namna ya kuvaa mitindo gani kulingana na mahali atakapojitokeza kwa hadhi yakeMama Anavaa kwa mpangilio unaoeleweka na kwa kulingana na tukio
Unajua wewe unachodhani kuna utofauti wa kimaisha kati yako na sisi kisa kuita mama mama 😂 hebu amka mwanetu, afu kingine hatupingi kuita mama yako maana njaa zinakutesa na ndo mifumo ya kichawa mliowekewa ila usituongelee pumba zako.Acheni huo ujinga wa kujitekenya na kujichekesha wenyewe
..Embu acha vichekesho basi. Hivi hayo ndio mavazi ya kuonea wivu? Utaiga nini hapo sasa?
yaani unataka avae to your test?, kwani siasa ni fashion contest show😡?Wewe unaona huo mkoti upo sawa?..yaani unataka avae to your test?, kwani siasa ni fashion contest show😡?
Kwani CCM ndio wamemshonea hilo koti? Yaani nyie makosa yenu hadi ya kushindwa kuvaa mnaisingizia CCMWatu wengi wa CCM vichwani hawana akili kabisa ndio maana uwezo wao huwa ni ku deal na vitu vidogo vidogo ambavyo havina maana na hiyo ndio kazi kubwa ya wajinga
HUYU MWASHAMBA MSHAMBA KWELI KWELI. KIPI BORA UVAE MITAI NA MISUTI MIZURI KM YA AKINA WEZI MADELU NA UFILISI NCHI AU UVAE OVYO KM TAL AU MAGWANDA KM TRAORE NA NCHI IENDELEE? KUBWA JINGA NA OVYONdugu zangu Watanzania,
Unapokuwa kiongozi mkubwa inategemewa uwe smart kwa kila kitu au kwa mambo mengi sana. Kuanzia uvaaji wako wa mavazi, mpangilio wa nguo wa ipi ivaliwe wakati gani na katika tukio lipi na hata muonekano tu wa rangi ya nguo.
Unapokuwa kiongozi mkubwa hata ukataji wako tu wa nywele ni lazima uakisi ukumbwa wa nafasi yako kiuongozi. Siyo kiongozi unakata nywele kihuni huni tu Utafikiri ulitegesha tu kichwa kwa kinyozi anayejifunza kunyoa .huku wewe ukiwa umefumba macho Utafikiri unakwepa vumbi .
Hata ufungaji tu wa mkanda wako kiunoni ni lazima uwe wa makini . Na siyo unafunga suruali Utafikiri mkanda ni mdogo huku suruali likiwa limekunjamana Utafikiri lilikaliwa na abiria au uliweka kichwani ulipokuwa umelala usiku au Utafikiri ulilala nalo kwenye Mkeka .
Hata namna ya kukaa tu kwenye kiti uwapo mahali popote pale kuna mikao yake. Na siyo unakaa kwenye kiti mbele ya Camera utafikiri unaoto moto .umetandaza miguu Utafikiri upo Mwenyewe. Kiongozi wewe ni wa mfano na hivyo inahitaji umakini sana.
Sasa ukimuangalia Lissu unaona ni mtu ambaye yupo kishamba sana ,ni mtu ambaye bado ukijiji haujamtoka kichwani. Unajua mtu anaweza akatoka kijijini na kuishi mjini lakini akawa bado ana kijiji na ukijiji kichwani mwake ,akawa bado ana mapori kichwani na akilini yanayohitaji kufyekwa .
Embu Tazama hapa Lissu ambaye ndiye Anajiita Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa .Embu angalia hilo koti lake Utafikiri alipimwa mtu mwingine halafu ndio akashonewa na akavalishwa lissu. Kiukweli Lissu anasikitisha sana. Na hapo ni msomi ambaye amesoma mpaka Ulaya na kuzunguka Ulaya lakini haya ndio Makoti yake anayovaa leo mwaka 2025. Halafu eti anataka awe Rais. Sijui ili amuongoze Nani.
Angalia hapa👎View attachment 3252722
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
MaviKwani CCM ndio wamemshonea hilo koti? Yaani nyie makosa yenu hadi ya kushindwa kuvaa mnaisingizia CCM
Ondoa hapa mahasira yako.TUnaongozwa bwana wako TAL
Tunahitaji kilichomo kichwani mwake zaidi kuliko maonyeshoHata ufungaji tu wa mkanda wako kiunoni ni lazima uwe wa makini . Na siyo unafunga suruali Utafikiri mkanda ni mdogo huku suruali likiwa limekunjamana Utafikiri lilikaliwa na abiria au uliweka kichwani ulipokuwa umelala usiku au Utafikiri ulilala nalo kwenye Mkeka .
Kumbe hata wewe una kili kuwa kavaa vibaya na Hovyo?HUYU MWASHAMBA MSHAMBA KWELI KWELI. KIPI BORA UVAE MITAI NA MISUTI MIZURI KM YA AKINA WEZI MADELU NA UFILISI NCHI AU UVAE OVYO KM TAL AU MAGWANDA KM TRAORE NA NCHI IENDELEE? KUBWA JINGA NA OVYO
Unataka uolewe wewe umpangie nguo?Embu acha vichekesho basi. Hivi hayo ndio mavazi ya kuonea wivu? Utaiga nini hapo sasa?
Kilichomo kichwani mwake hakiwezi kuwa tofauti na hicho kuonekanacho.Tunahitaji kilichomo kichwani mwake zaidi kuliko maonyesho
Acha hasira zako hapa wewe. Mpelekee hasira aliyempa hizo nguo.Unataka uolewe wewe umpangie nguo?
Sina hasira nahoji ww unae kosoa mavazi , olewa e ukampangie nguo. Punguza povu kenge wahed wwAcha hasira zako hapa wewe. Mpelekee hasira aliyempa hizo nguo.
sio kuvaa tu, hata bia alikunywa. tunaomba awe serious hasa linapokuja suala la msingi kama la jana na dunia nzima inakuangalia. kama ulimwangalia vizuri, alikuwa anachekacheka tu, hatoi point yeyote, hakuongea cha maana na analeta utani utani tu bila utaratibu. nadhani chadema muache pombe au la kamwulizeni DJ MBOWE ilishawahi kumgarimu. huwezi kutazamiwa kuongea mambo ya msingi ukaja pale unachekacheka tu. I am your supporter and you will have my vote lakine kati ya siku nilitegemea ungehutubia dunia ilikuwa jana, bora wangempa hata Heche tu nafasi ya kuongea,ajabu yake hata protokali walikosea, MC ndiye alimkaribisha lema kama sikosei amkaribishe mwenyekiti, na hawakumpa Heche nafasi.w alitakiwa wamkaribishe makamu mwenyekiti aongeee na amkaribishe mwenyekiti. kuweni serious.Ndugu zangu Watanzania,
Unapokuwa kiongozi mkubwa inategemewa uwe smart kwa kila kitu au kwa mambo mengi sana. Kuanzia uvaaji wako wa mavazi, mpangilio wa nguo wa ipi ivaliwe wakati gani na katika tukio lipi na hata muonekano tu wa rangi ya nguo.
Unapokuwa kiongozi mkubwa hata ukataji wako tu wa nywele ni lazima uakisi ukumbwa wa nafasi yako kiuongozi. Siyo kiongozi unakata nywele kihuni huni tu Utafikiri ulitegesha tu kichwa kwa kinyozi anayejifunza kunyoa .huku wewe ukiwa umefumba macho Utafikiri unakwepa vumbi .
Hata ufungaji tu wa mkanda wako kiunoni ni lazima uwe wa makini . Na siyo unafunga suruali Utafikiri mkanda ni mdogo huku suruali likiwa limekunjamana Utafikiri lilikaliwa na abiria au uliweka kichwani ulipokuwa umelala usiku au Utafikiri ulilala nalo kwenye Mkeka .
Hata namna ya kukaa tu kwenye kiti uwapo mahali popote pale kuna mikao yake. Na siyo unakaa kwenye kiti mbele ya Camera utafikiri unaoto moto .umetandaza miguu Utafikiri upo Mwenyewe. Kiongozi wewe ni wa mfano na hivyo inahitaji umakini sana.
Sasa ukimuangalia Lissu unaona ni mtu ambaye yupo kishamba sana ,ni mtu ambaye bado ukijiji haujamtoka kichwani. Unajua mtu anaweza akatoka kijijini na kuishi mjini lakini akawa bado ana kijiji na ukijiji kichwani mwake ,akawa bado ana mapori kichwani na akilini yanayohitaji kufyekwa .
Embu Tazama hapa Lissu ambaye ndiye Anajiita Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa .Embu angalia hilo koti lake Utafikiri alipimwa mtu mwingine halafu ndio akashonewa na akavalishwa lissu. Kiukweli Lissu anasikitisha sana. Na hapo ni msomi ambaye amesoma mpaka Ulaya na kuzunguka Ulaya lakini haya ndio Makoti yake anayovaa leo mwaka 2025. Halafu eti anataka awe Rais. Sijui ili amuongoze Nani.
Angalia hapa👎View attachment 3252722
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Mpangieni nyie mliomchagua . Mimi niliona hafai kuwa kiongozi na ndio maana nilikuwa nampinga sana . Sasa nyie mkamchagua kwa Mihemuko na sasa mnaona matokeo ya Mihemuko yenu.Sina hasira nahoji ww unae kosoa mavazi , olewa e ukampangie nguo. Punguza povu kenge wahed ww
Umeongea hoja nzito sana.Suala uvaaji na unyoaji ni nyeti sana kwa kiongozi/public figure/celebrity. Ukivaa hovyo hovyo utaigwa na jamii kwa kujua huo ndio mtindo mzuri. Utaipotosha jamii namna unavyovaa, kunyoa na mitindo mingine ya ajabuajabu isiyopendeza. Kiongozi ni lazima uwe smart katika kuvaa na kukata nywele ili usilete utata kwa wanaokutazama