Pre GE2025 PICHA: Tundu Lissu aongezeka jopo la Mawakili kumtetea Dkt. Slaa Kisutu, kesi ya kusambaza taarifa za uongo

Pre GE2025 PICHA: Tundu Lissu aongezeka jopo la Mawakili kumtetea Dkt. Slaa Kisutu, kesi ya kusambaza taarifa za uongo

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
TAL hakupona risasi 16 ili akae na mkewe na watoto tu, kuna mission zaidi ya hiyo
 
Baada ya lisu kuongezeka kama wanaomtetea dr. Slaa ndio wanasema rufaa ya dr. Iharakishwe.dadeki
 
Yes. But watu wenye akili huwa hawaweki kisasi au hasira ndani. Sisi wanaume huwa hatuweki hiyo kitu. Slaa aliongea mabaya kipindi hicho analamba asali. Lakini haina haja ya kumlipa mabaya. Nadhani Lissu amefanya jambo la hekima na ameonesha ukomavu mkubwa sana.
Ni kweli unalosema. Lakini mbona wakina Halima hamtaki kuwasamehe?

Amandla...
 
Back
Top Bottom