Picha: Uchawa wa kisiasa uliovuka mipaka

Laana ya waafrika...njaa na kukosa aibu
Hii ibaki kuwa laana ya watanzania. Ila ''vijana wa mjini'' wanajua kucheza na vichwa vya wanasiasa. Watu kama hawa Samia akitoka kwenye madaraka watamgeuzia kibao wote. Halafu kuna huu ujinga wa kila mtu kusema ''tunaomba rais wetu msikivu asikie kilio chetu'' pale kila mtu anapotowa malalamiko ya jambo fulani. Hii imekuwa kama sala ya watanzania.
 
Watanzania wengi usiwaamini kwa lolote! Wengi ni wanafiki na wachumia tumbo kutokana na umasikini na elimu duni waliyonayo walio wengi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…