Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Laana ya waafrika...njaa na kukosa aibu
Unawezakuta mtu na akili zake kabisa, Tena msomi mwenye vyeti amevaa hiyo nguo. Hivi kweli Tanzania ni nchi ya namna gani?
Sio waafrika, ni watanzania. Tunaonekanaje mbele ya mataifa ya nje?Laana ya waafrika...njaa na kukosa aibu
Hii ibaki kuwa laana ya watanzania. Ila ''vijana wa mjini'' wanajua kucheza na vichwa vya wanasiasa. Watu kama hawa Samia akitoka kwenye madaraka watamgeuzia kibao wote. Halafu kuna huu ujinga wa kila mtu kusema ''tunaomba rais wetu msikivu asikie kilio chetu'' pale kila mtu anapotowa malalamiko ya jambo fulani. Hii imekuwa kama sala ya watanzania.Laana ya waafrika...njaa na kukosa aibu
tunaonekana vituSio waafrika, ni watanzania. Tunaonekanaje mbele ya mataifa ya nje?
Watanzania wengi usiwaamini kwa lolote! Wengi ni wanafiki na wachumia tumbo kutokana na umasikini na elimu duni waliyonayo walio wengi!Hii ibaki kuwa laana ya watanzania. Ila ''vijana wa mjini'' wanajua kucheza na vichwa vya wanasiasa. Watu kama hawa Samia akitoka kwenye madaraka watamgeuzia kibao wote. Halafu kuna huu ujinga wa kila mtu kusema ''tunaomba rais wetu msikivu asikie kilio chetu'' pale kila mtu anapotowa malalamiko ya jambo fulani. Hii imekuwa kama sala ya watanzania.
Aisee