Picha; Uganda hili neno "kisenge" lina maana gani kwenu?

Picha; Uganda hili neno "kisenge" lina maana gani kwenu?

Humble African

JF-Expert Member
Joined
Jul 28, 2013
Posts
4,781
Reaction score
14,415
IMG_20170222_104734.jpg
Nilienda Uganda kwenye mitkasi yangu nikabook lodge moja Kali tu donwtown Cumpala pale Bakuli mu bitara.

Tangazo lao likanitisha maana kila baada ya sentensi moja kuna neno kisenge..loh!

Im curious what is that word mean! Kisenge?
 
View attachment 482114Nilienda Uganda kwenye mitkasi yangu nikabook lodge moja Kali tu donwtown Cumpala pale Bakuli mu bitara.

Tangazo lao likanitisha maana kila baada ya sentensi moja kuna neno kisenge..loh!

Im curious what is that word mean! Kisenge?
Mkuu kama hii ndo lodge moja Kali tu donwtown Cumpala, basi inatisha. Muonekano wa hilo tangazo ulilolipiga picha linasema mengi. Pole, sijui huko Cumpala ndiyo wapi?!!!!
Afu na kiingereza chako hicho cha sentensi yako ya mwisho, dah!
 
Mkuu kama hii ndo lodge moja Kali tu donwtown Cumpala, basi inatisha. Muonekano wa hilo tangazo ulilolipiga picha unasema mengi. Pole, sijui huko Cumpala ndiyo wapi?!!!!
Afu na kiingereza chako hicho cha sentensi yako ya mwisho, dah!
Nafahamu kabisa inaandikwa Kampala ila kuna Sanaa kubwa kwenye hili neno Cumpala...inatokana na neno Cum..kufikia mshindo kwa wanawake kwa kukojoa mkojo mwingi...wanaita squirting ambayo inapatikana zaidi Uganda, Rwanda, na somepart of Tanzania.

Ushanfahamu!?
 
Back
Top Bottom