Komeo Lachuma
JF-Expert Member
- Oct 31, 2014
- 7,926
- 17,030
Namwona ndugu rais akiwa ibadani na huku wadau mbalimbali wakiendelea na swala. Leo ni siku ya kuchinja.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
CamouflagingNamwona ndugu rais akiwa ibadani na huku wadau mbalimbali wakiendelea na swala. Leo ni siku ya kuchinja.
View attachment 3019313View attachment 3019314
Rahisi sawa sio raisWababa na Ijabu 🤣🤣🤣🤣🤭 ila ndo maisha...ni lazima wamlinde.Siku nikiwa rahisi itawabidi tu wanaume kuvaa vimini ibadani na kuimba pambio🤨
Yeah,maana kuwa Rais ni kipengele Sana mkuu😜Rahisi sawa sio rais
Raisi❌Rahisi❌
Raisi✅
Raisi 🤨🤨
Rais 🤔🤔
😂Kiswahili kigumu tuendelee kuelimishanaRaisi❌
Rais✅
Mkosoaji kakosolewa!!Raisi❌
Rais✅
Sio mchezo girl ni mbaya! Kuna chuki,visasi,mauaji,uongo,siri za kitisha,roho ngumu etc kile kiti ni kizito kione tu vile na ile nembo ya rais.Yeah,maana kuwa Rais ni kipengele Sana mkuu😜
Kwamba ni wanaume wanaimarisha ulinzi?
Hakuna lolote, ni kukikweza tu hicho cheo,Sio mchezo girl ni mbaya! Kuna chuki,visasi,mauaji,uongo,siri za kitisha,roho ngumu etc kile kiti ni kizito kione tu vile na ile nembo ya rais.