Picha: Ukishakuwa Rais hata kuna mambo ya Kidini yanapindishwa

Picha: Ukishakuwa Rais hata kuna mambo ya Kidini yanapindishwa

Dah nimejikuta nawaza nje ya Box hivi watoto wako wakikuona hivyo au waifu....
 
Kwanza sitaki kuwa huko hata kama nitaalikwa.

Nyinyi mnajikomba kwake na kumkweza ili kusudi kuvizia teuzi za upendeleo licha ya kwamba mmekosa sifa nzuri za kuteuliwa na kuwa huko. Ni uchawa tu ndio mnaouweza.
Ndugu sizungumzii uchawa hapa! hayo sio mambo yangu kbs,Nazungumzia uzito wa hicho cheo cha urais.
Ni kugumu mno nasisitiza ni kugumu mno.
 
Screenshot_20240617-132831.png



DUCE ALUMNI 2009, 😬😬😬😬😬😬😬😬
 
Haya madaraka ya ghafla hua yanakua na vituko vya kila rangi...😜
 
Yeah.... Jamaa wa picha ya pili ilibidi anyoe ndevu ili kutupoteza mazima
 
Back
Top Bottom