Picha: Ukishakuwa Rais hata kuna mambo ya Kidini yanapindishwa

Hauoni moustache na jinsi sura ilivyo ngumu

Siku hizi kuku na wanyama wengi wanapewa madawa ya kukuwa haraka , wanawake wengi wanaokula kuku, na wanyama hao , na ndio wakaathirika kwa kuota moustach na ndevu. Inawezekana huyo au hao ni baadhi yao
 
Sawa sheikh
 
Imeenda kuchungulia wanawake, yaani unaenda Msikitini au Kanisani kumuuomba MUNGU halafu MUNGU mwenyewe humwamini si bora ubaki kama mimi nipo nipo tu
Acheni kuingilia mambo ya kiserikali na dini. Huwezi kuumwa malaria at unadini ukaombewe ili upone badala ya kwenda hospital.

Mama amekalia kiti ambacho kimfumo kinahadhi yake dini pembeni
 
Wababa na Ijabu 🀣🀣🀣🀣🀭 ila ndo maisha...ni lazima wamlinde.Siku nikiwa rahisi itawabidi tu wanaume kuvaa vimini ibadani na kuimba pambio🀨
Acha dharau na kanisa wewe mwehu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…