Picha : Ukitaka kuwa tajiri uwe na roho ngumu haswa

inaonekana hata wanyama wanapenda utajiri!, huyo jamaa angekuwa ni masikini, huyo chatu angemuona ni chakula akammeza lkn chatu kakutana na harufu ya ankara nafsi inamsunta!, akimmeza ndo nayeye kameza maisha yake..🤣
 
inaonekana hata wanyama wanapenda utajiri!, huyo jamaa angekuwa ni masikini, huyo chatu angemuona ni chakula akammeza lkn chatu kakutana na harufu ya ankara nafsi inamnsunta!, akimmeza ndo nayeye kameza maisha yake..🤣
Mjamaa umezingua, ushaharibu siku yangu daah!! Mm hao wadudu nikiwaona hata Jani likinigusa nashtuka 😢
 
Usikute hapo kalala na mkewe, na wala haishangazi sababu kuna ambaye keshakutwa akiwangilia mbuzi. Kuna Binadamu wana fantacy za ajabu ajabu mno.
🤣 Noma
 
Reactions: Tsh
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…