Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mjamaa umezingua, ushaharibu siku yangu daah!! Mm hao wadudu nikiwaona hata Jani likinigusa nashtuka 😢inaonekana hata wanyama wanapenda utajiri!, huyo jamaa angekuwa ni masikini, huyo chatu angemuona ni chakula akammeza lkn chatu kakutana na harufu ya ankara nafsi inamnsunta!, akimmeza ndo nayeye kameza maisha yake..🤣
sijapost mimi.. unashida gani..?Mjamaa umezingua, ushaharibu siku yangu daah!! Mm hao wadudu nikiwaona hata Jani likinigusa nashtuka 😢
Hivi lina uke???Watu hilo dude wanalipiga mbupu for fun halafu wewe unasema ati utajiri na hizo bra bra.
Kijana wewe ni wa daslam nini??
Kwahy umeangushiwa jumba bovu. Pole.sijapost mimi.. unashida gani..?
Sijui mkuu, kuna video niliiona mchizi analichapa aisee.Hivi lina uke???
Hahaha,Hivi lina uke???
Aisee we jamaa unauliza kwanini jamaa hapendi Nyokakwa nini
Mbona zipo pornographic clips watu wanayapelekea moto, mademu za watu hao.Hivi lina uke???
Photoshop akachaganya an effect za AIPHOTO SHOP