PICHA: Ukweli wa asili ya Deo Ndejembi - Mama yake alikuwa na asili ya Kiarabu

PICHA: Ukweli wa asili ya Deo Ndejembi - Mama yake alikuwa na asili ya Kiarabu

USSR

JF-Expert Member
Joined
Jul 15, 2015
Posts
12,213
Reaction score
28,916
Mods naomba uzi huu usiungwe kule

Pichani ni Mzee Pancras Mtemi Ndejembi ambaye ndie baba yake na Makamu rais mteule Deogratius John Ndejembi.

Mzee Pancras Mtemi Ndejembi ni moja ya makada wakubwa wa CCM na kiongozi mkongwe wa CCM Mkoani Dodoma Alihudumu kama Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Dodoma kwa miaka 25 kuanzia mwaka 1982 hadi 2007.

Pia aliwahi kuwa Mwenyekiti wa wenyeviti wote wa CCM wa Mikoa ya Tanzania Bara na Visiwani hadi alipong'atuka mwaka 2007.

Mzee Pancras Ndejembi ana asili ya kabila la Gogo (Wagogo), kutokea Mkoani Dodoma, chimbuko la asili yake ni kutokea katika Kijiji cha Mkonze, kilichopo Wilaya ya Dodoma mjini, na hapo ndipo Mzee Pancras Ndejembi alipozikwa baada ya kufariki dunia mwishoni mwa mwaka 2018.

Mama yake na Deogratias Jonh Ndejembi alikuwa ni muarabu mwenye asili ya Tanzania, yaani chotara wa kiarabu kutokea pale kongwa hivyo maujinga ya kumuita kuwa ni mzanzibar ni rohi mbaya,husda,uchimvi ,uchawi na ukigagula kwa taifa letu

Kupotosha ili ionekane ametokea Zanzibar ni mipango ya kuvuruga Muungano wetu ,mshikamano na amani ya taifa letu pedwq

Deo ni mgogo asili kabisa wa Tanzania ,tuwapuuze

USSR
FB_IMG_1787896145983.jpg
 
Kwanini inatumika nguvu kubwa namna hii kuuaminisha uma asili ya mtu? Kwani vetting ya taifa ina kazi gani?
Je rangi na asili yake vina umuhimu kuliko medulla yake?

Looks like people are trying to Remind us something. if the head is from Zanzibar the second should be from mainland. Am not sure whether its constitutional or Norm.
 
kwa hiyo jamaa kumbe ni 3/4 black.. ubaguzi wa rangi haufai ,ilimradi ni raia wa tanzania.. sidhani kama ni dhambi kuwa VP ,tumpime katika utendaji wake wa kazi.

obama ni half black - half white na bado wamarekani walimkubali!
 
Looks like people are trying to Remind us something. if the head is from Zanzibar the second should be from mainland. Am not sure whether its constitutional or Norm.
Watu wanaomjua imebidi wamtetee kwa sababu,kuna watu wanamsingizia kuwa eti ni mpemba,mwarabu,mzanzibari.Hata huyu salum hamduni ambae aliwahi kuwa mkuu wa takukuru,ambae ni mwarabu,watu walisema sana kuwa mzanzibari,wakati huyu kazaliwa kijinini mwamala,walaya ya nzega,baba yake alikuwa mwalimu maarufu sana wa shule za msingi huko nzega vijijini.
 
Dah wabongo kweli hamnazo!.
Marekani ilimchagua kina Obama na Kina Kamala wote hao ni mixed nationalities ,shida kwani ipo wapi wakuu??

wewe ndio hamnazo tena hamnazo kweli kweli.

It is specifically Article 47(3) of the Constitution. It states that a person should be nominated for Vice-President on the basis that if the President comes from one part of the United Republic, the Vice-President should come from the other part of the Union.
 
Back
Top Bottom