Fund man
JF-Expert Member
- Feb 24, 2021
- 4,230
- 5,734
Na atakuwa🤣🤣🤣🤣🤣🤣Tukifanya masihara anawezakua Rais

HukuWe kigagula hiyo nguvu umeitoa wapi
USSR
Damn!!!RAISI mzanzibar
Makamu mzanzibar
You are right.. That reminder has something serious to do with our vetting process....!
Huu upumbavu kawalishe wasioifahamu familia ya marehemu Mzee Ndejembi, huyo Ndejembi wa Kipemba msitumie nguvu mpaka mkajiaibisha za kufuta Upemba wake. Walioishi naye UK wanamtambua kama Mpemba na waliokuwa wakiswali naye wanaweza kutapika wakisoma huo ujinga uliou-post.Mods naomba uzi huu usiungwe kule
Pichani ni Mzee Pancras Mtemi Ndejembi ambaye ndie baba yake na Makamu rais mteule Deogratius John Ndejembi.
Mzee Pancras Mtemi Ndejembi ni moja ya makada wakubwa wa CCM na kiongozi mkongwe wa CCM Mkoani Dodoma Alihudumu kama Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Dodoma kwa miaka 25 kuanzia mwaka 1982 hadi 2007.
Pia aliwahi kuwa Mwenyekiti wa wenyeviti wote wa CCM wa Mikoa ya Tanzania Bara na Visiwani hadi alipong'atuka mwaka 2007.
Mzee Pancras Ndejembi ana asili ya kabila la Gogo (Wagogo), kutokea Mkoani Dodoma, chimbuko la asili yake ni kutokea katika Kijiji cha Mkonze, kilichopo Wilaya ya Dodoma mjini, na hapo ndipo Mzee Pancras Ndejembi alipozikwa baada ya kufariki dunia mwishoni mwa mwaka 2018.
Mama yake na Deogratias Jonh Ndejembi alikuwa ni muarabu mwenye asili ya Tanzania, yaani chotara wa kiarabu kutokea pale kongwa hivyo maujinga ya kumuita kuwa ni mzanzibar ni rohi mbaya,husda,uchimvi ,uchawi na ukigagula kwa taifa letu
Kupotosha ili ionekane ametokea Zanzibar ni mipango ya kuvuruga Muungano wetu ,mshikamano na amani ya taifa letu pedwq
Deo ni mgogo asili kabisa wa Tanzania ,tuwapuuze
USSR
View attachment 3658483
Huu ujinga umepewa na mangeHuu upumbavu kawalishe wasioifahamu familia ya marehemu Mzee Ndejembi, huyo Ndejembi wa Kipemba msitumie nguvu mpaka mkajiaibisha za kufuta Upemba wake. Walioishi naye UK wanamtambua kama Mpemba na waliokuwa wakiswali naye wanaweza kutapika wakisoma huo ujinga uliou-post.
KabisaKwanini inatumika nguvu kubwa namna hii kuuaminisha uma asili ya mtu? Kwani vetting ya taifa ina kazi gani?
Je rangi na asili yake vina umuhimu kuliko medulla yake?
Naijua familia ya Ndejembi personally, mmoja wa watoto wa late Ndejembi was my close buddy back in the day probably ulikuwa bado haujazaliwa miaka hiyo. Huyo Mpemba wenu mtaaibika naye.Huu ujinga umepewa na mange
USSR
Kwangu Ndejembi ni mdogo wangu kiumri wewe utakuwa ulikuwa house garl huko pembaNaijua familia ya Ndehembi personally, mmoja wa watoto wa late Ndejembi was my close buddy back in the day probably ulikuwa bado haujazaliwa miaka hiyo. Huyo Mpemba wenu mtaaibika naye.
Hivyo tutarajie tena nusu mlingoti?Na atakuwa🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Let's say yeah nilikuwa house 'garl'(that's how you damn wrote it), vipi hilo linaondoaje Upemba wake huyo Ndejembi wa kuchovya.Kwangu Ndejembi ni mdogo wangu kiumri wewe utakuwa ulikuwa house garl huko pemba
USSR
Mods naomba uzi huu usiungwe kule
Pichani ni Mzee Pancras Mtemi Ndejembi ambaye ndie baba yake na Makamu rais mteule Deogratius John Ndejembi.
Mzee Pancras Mtemi Ndejembi ni moja ya makada wakubwa wa CCM na kiongozi mkongwe wa CCM Mkoani Dodoma Alihudumu kama Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Dodoma kwa miaka 25 kuanzia mwaka 1982 hadi 2007.
Pia aliwahi kuwa Mwenyekiti wa wenyeviti wote wa CCM wa Mikoa ya Tanzania Bara na Visiwani hadi alipong'atuka mwaka 2007.
Mzee Pancras Ndejembi ana asili ya kabila la Gogo (Wagogo), kutokea Mkoani Dodoma, chimbuko la asili yake ni kutokea katika Kijiji cha Mkonze, kilichopo Wilaya ya Dodoma mjini, na hapo ndipo Mzee Pancras Ndejembi alipozikwa baada ya kufariki dunia mwishoni mwa mwaka 2018.
Mama yake na Deogratias Jonh Ndejembi alikuwa ni muarabu mwenye asili ya Tanzania, yaani chotara wa kiarabu kutokea pale kongwa hivyo maujinga ya kumuita kuwa ni mzanzibar ni rohi mbaya,husda,uchimvi ,uchawi na ukigagula kwa taifa letu
Kupotosha ili ionekane ametokea Zanzibar ni mipango ya kuvuruga Muungano wetu ,mshikamano na amani ya taifa letu pedwq
Deo ni mgogo asili kabisa wa Tanzania ,tuwapuuze
USSR
View attachment 3658483
Huyu ni babu yake, baba wa baba yake... lkn hata kama angekuwa ndo baba yake vipi kama mama ni muiraq, mrangi ama half cast?Mods naomba uzi huu usiungwe kule
Pichani ni Mzee Pancras Mtemi Ndejembi ambaye ndie baba yake na Makamu rais mteule Deogratius John Ndejembi.
Mzee Pancras Mtemi Ndejembi ni moja ya makada wakubwa wa CCM na kiongozi mkongwe wa CCM Mkoani Dodoma Alihudumu kama Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Dodoma kwa miaka 25 kuanzia mwaka 1982 hadi 2007.
Pia aliwahi kuwa Mwenyekiti wa wenyeviti wote wa CCM wa Mikoa ya Tanzania Bara na Visiwani hadi alipong'atuka mwaka 2007.
Mzee Pancras Ndejembi ana asili ya kabila la Gogo (Wagogo), kutokea Mkoani Dodoma, chimbuko la asili yake ni kutokea katika Kijiji cha Mkonze, kilichopo Wilaya ya Dodoma mjini, na hapo ndipo Mzee Pancras Ndejembi alipozikwa baada ya kufariki dunia mwishoni mwa mwaka 2018.
Mama yake na Deogratias Jonh Ndejembi alikuwa ni muarabu mwenye asili ya Tanzania, yaani chotara wa kiarabu kutokea pale kongwa hivyo maujinga ya kumuita kuwa ni mzanzibar ni rohi mbaya,husda,uchimvi ,uchawi na ukigagula kwa taifa letu
Kupotosha ili ionekane ametokea Zanzibar ni mipango ya kuvuruga Muungano wetu ,mshikamano na amani ya taifa letu pedwq
Deo ni mgogo asili kabisa wa Tanzania ,tuwapuuze
USSR
View attachment 3658483
Looks like people are trying to Remind us something. if the head is from Zanzibar the second should be from mainland. Am not sure whether its constitutional or Norm.
Mpemba mtupu
Naijua familia ya Ndejembi personally, mmoja wa watoto wa late Ndejembi was my close buddy back in the day probably ulikuwa bado haujazaliwa miaka hiyo. Huyo Mpemba wenu mtaaibika naye.