PICHA: Ukweli wa asili ya Deo Ndejembi - Mama yake alikuwa na asili ya Kiarabu

PICHA: Ukweli wa asili ya Deo Ndejembi - Mama yake alikuwa na asili ya Kiarabu

Mods naomba uzi huu usiungwe kule

Pichani ni Mzee Pancras Mtemi Ndejembi ambaye ndie baba yake na Makamu rais mteule Deogratius John Ndejembi.

Mzee Pancras Mtemi Ndejembi ni moja ya makada wakubwa wa CCM na kiongozi mkongwe wa CCM Mkoani Dodoma Alihudumu kama Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Dodoma kwa miaka 25 kuanzia mwaka 1982 hadi 2007.

Pia aliwahi kuwa Mwenyekiti wa wenyeviti wote wa CCM wa Mikoa ya Tanzania Bara na Visiwani hadi alipong'atuka mwaka 2007.

Mzee Pancras Ndejembi ana asili ya kabila la Gogo (Wagogo), kutokea Mkoani Dodoma, chimbuko la asili yake ni kutokea katika Kijiji cha Mkonze, kilichopo Wilaya ya Dodoma mjini, na hapo ndipo Mzee Pancras Ndejembi alipozikwa baada ya kufariki dunia mwishoni mwa mwaka 2018.

Mama yake na Deogratias Jonh Ndejembi alikuwa ni muarabu mwenye asili ya Tanzania, yaani chotara wa kiarabu kutokea pale kongwa hivyo maujinga ya kumuita kuwa ni mzanzibar ni rohi mbaya,husda,uchimvi ,uchawi na ukigagula kwa taifa letu

Kupotosha ili ionekane ametokea Zanzibar ni mipango ya kuvuruga Muungano wetu ,mshikamano na amani ya taifa letu pedwq

Deo ni mgogo asili kabisa wa Tanzania ,tuwapuuze

USSR
View attachment 3658483


Tena wanavyo fanana labda waseme Babake anasura ya Kizanzibar 🤠🤠

Mana jamaa wahun sn!i lengo lao kuu Tanzania kuwake MOTO 💥💥💥💥💥

sijui watapata faida gani!! mshangao wenyewe bado wana ndugu zao Tanzania Chuki zao zinaenda mpaka kwa
Ndugu zao❗️
Wale ni adui zetu kwa Pamoja✍️
 
RAISI mzanzibar
Makamu mzanzibar

Lkn kwako ni sawa kwa Mwenyekiti wa Chadema mh Lissu kumpendekeza Shemeji yake❗️

awe Makamu Mwenyekiti Chadema ndugu John Heche ???

Ukombozi FAKE unangozwa na mtu na Shemeji yake🫎‼️
 

Attachments

  • 6383535-d2a99db8c1716a1080d26b345b5eadf6.jpg
    6383535-d2a99db8c1716a1080d26b345b5eadf6.jpg
    20.3 KB · Views: 10
Dah wabongo kweli hamnazo!.
Marekani ilimchagua kina Obama na Kina Kamala wote hao ni mixed nationalities ,shida kwani ipo wapi wakuu??
Ni sawa na kulinganisha nyau na chui kwa kuwa wote ni jamii ya paka.

Huku kila kitu ni rais waliobaki ni ndio mzee.

Kule mjengoni amepitishwa kwa 100% lkn nafsini kwao wanajua pamoja na kuwa wamejaa wenyewe tu huko.
 
Kuna dhana nyengine wanafanya propaganda
Kuwa Wazanzibar
ni Wabaguzi sana ❌️

Ukweli ni propaganda ya uwongo

Kwa HOJA

Tunao Wabunge kutokea Bara wameacha kugombea Ubunge Bara wameenda Zanzibar na wakachagula kuwa Wabunge mifano ipo wazi✅️

Kinyume chake watutajie ni Mbunge gani kutokea Zanzibar kaja kugombea Bara na Kuchaguliwa kuwa Mbunge?????????

Sasa kama ni HAKI ni nani Wabaguzi
Apo??????

Ukweli upo wazi Wazanzibar wanawachukia kwa Sababu zengine
Lkn Ubaguzi ni uwongo na propaganda ya ovyo zaidi✍️
 
UDINI ni Upumbavu m'baya zaidi

Mfano mwengine mtu kutokea pwani
Afike MWANZA na kuwataka Wasukuma wawachukie watu wa Visiwani Ukerewe

Wkt wale ni Jamaa wamoja Dini moja wamechanganyikana kitambo
Kwa kitambo!!

Sasa uyu mtu wa pwani katika chuki zake za Kidini atafute visabababu vya kuokoteza lkn ivyo ivyo anavifanyia propaganda nyingi kufikia lengo lake!!

Ivyo ndiovo watu kutokea Bara wanavyofanya kwa Wazanzibar kujaribu kuwatenganisha na ndugu zao wa Pwani maeneo ya pwani

Tanga na Pemba Unguja Bagamoyo Dar es Sallam
Awa ni ndugu kabisa wameungana miaka mingi kupitia familia zao kuungana kupitia ndoa nk.

Huwezi kuwatenganisha kivyovyote
Ndio sawa kuwatenganisha watu wa Mwanza na Ukerewe ni vigumu pia

Lkn tatizo linakuja chuki za Wakristo Wachungaj kutokea Bara
Uko walipotoka wamekulia maeneo Ukristo unanguvu sana👈

hawakujua
Kwamba kuna maeneo Tanzania hii napo Uislamu ndio wenye nguvu zaidi ayo maeneo 👈

Sasa wanajibebesha zigo gumu kuwatengenisha kupitia Propaganda za kipumbavu

Mwalimu Nyerere alikuwa mbele ya Muda
Aliliona ili miaka mingi nyuma kwamba huwezi kuvunja muungano kati ya Zanzibar na Bara

Na iyo Bara kubaki Salama

Tanzania inaitegemea Dar es Sallam kwa %75 kwenye mapato yake
Iyo Dar es Sallam
wameungana na ndugu zao wa Zanzibar kwa DAMU
Unategemea kuna Tanganyika apo
Mikoa ya Pwani yote Wananchi wake watataka kubaki na Zanzibar kwa miongozo ya Viongozi wa kislam

Tanganyika ipo apo ‼️‼️

Bado kuelewa pata iyo picha jinsi ilivyo👈

Viongozi wa Kikristo wamewachochea Waumini wao kumchukia RAIS DK SAMIA SULUHU HASSAN kwasababu zao👈


Kwangu mm sitaki kujua Sababu zao kwangu nataka kakwambia ili jambo wameweza kwa %60 kama sio zaidi
Jifunze sasa kumbe Viongozi wa Dini wanaweza kuwaongoza Waumini wao kule watakapo👈

Sasa jiulize tena ilo wamefanya Viongozi wa Kikristo kwa waumini wao👈

JE
Viongozi wa kislam wanashindwa kufanya kitu kama icho icho kuwaunganisha Waislam wote kutokea Zanzibar Tanga Pwani zote
mana kazi yao itakuwa ndogo
Zanzibar inatengwa kwa Sababu za Dini yetu👈

Ndiomana mimi nasemaga ipo siku Wakristo mtakimbia jiji la Dar es Sallam na pwani yote kwa kubeba mfuko wa Rambo tu maana pakupita utakuwa una na chochote‼️

Lengo langu kukumbusha kiakili kile wanafanya Wachungaj na Viongozi wako wa Kikristo kwenye akili yako ni dhambi kubwa👈

WATANZANIA sote tunapaswa kujua hatari ya kuzungumzia Tanganyika kipindi kama ichi ni
hatari sana❌️

Kuliko Mzanzibar kuzungumzia kuvunja muungano wale tushawazoea👈

Wewe wa Bara usimuige
kabisa ❌️

Wewe Mtanganyika kataa popote kwanzia Kanisani kwako kiongozi yoyote mwenye kukuongoza uko uyo hatari kwako 👈

na mustakabali wako na kizazi chako cha leo na cha baadae 👈

Kama Sadaka mpe lkn mwambie
Kiongozi uku sipo❌️

Mkumbushe aya maneno
Kwamba na Viongozi wa kislam wakifanya kama wewe kweli tutakuwa na Taifa la Tanzania uko mbele safari ‼️

Mbona sasa tutafanya juhudi kukata mti nasisi tupo juu yake

Kiongozi umekosa maneno ya Mungu ya kutuunganisha badala ya kututenganisha ‼️‼️‼️

Kuzaliwa wewe muislamu au kuzaliwa wewe ni Mkristo
Kusiwe Sababu ya kuona mwezio ni adui yako

Yeye kazaliwa Muislamu nawewe ivyoivyo umezaliwa Mkristo kwanini muwe adui

Dini yake jina lake kabila lake wewe kinakusumbua nini kwake yeye kubaki vile kazaliwanavyo‼️‼️‼️

KUMBUKA TANZANIA ITAJENGWA NA WATANZANIA WENYE KUTUMIA AKILI ZAO VIZURI KUONA MBALI KUJUA HATARI KABLA YA KUTUFIKIA

Wale wameelewa somo Mungu wetu hawaongoze kwenye kupinga maono ya kutugawa kama Watanzania

Tukaing'oe mbegu mbaya ya Utanganyika FAKE watu wanalengo baya zaidi ya iyo
Tanganyika 👈

tusimama pamoja kupingananao wasitushinde👈

kushindwa kwetu ni kushindwa mustakabali wetu kama Tanzania moja✍️
 
Mods naomba uzi huu usiungwe kule

Pichani ni Mzee Pancras Mtemi Ndejembi ambaye ndie baba yake na Makamu rais mteule Deogratius John Ndejembi.

Mzee Pancras Mtemi Ndejembi ni moja ya makada wakubwa wa CCM na kiongozi mkongwe wa CCM Mkoani Dodoma Alihudumu kama Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Dodoma kwa miaka 25 kuanzia mwaka 1982 hadi 2007.

Pia aliwahi kuwa Mwenyekiti wa wenyeviti wote wa CCM wa Mikoa ya Tanzania Bara na Visiwani hadi alipong'atuka mwaka 2007.

Mzee Pancras Ndejembi ana asili ya kabila la Gogo (Wagogo), kutokea Mkoani Dodoma, chimbuko la asili yake ni kutokea katika Kijiji cha Mkonze, kilichopo Wilaya ya Dodoma mjini, na hapo ndipo Mzee Pancras Ndejembi alipozikwa baada ya kufariki dunia mwishoni mwa mwaka 2018.

Mama yake na Deogratias Jonh Ndejembi alikuwa ni muarabu mwenye asili ya Tanzania, yaani chotara wa kiarabu kutokea pale kongwa hivyo maujinga ya kumuita kuwa ni mzanzibar ni rohi mbaya,husda,uchimvi ,uchawi na ukigagula kwa taifa letu

Kupotosha ili ionekane ametokea Zanzibar ni mipango ya kuvuruga Muungano wetu ,mshikamano na amani ya taifa letu pedwq

Deo ni mgogo asili kabisa wa Tanzania ,tuwapuuze

USSR
View attachment 3658483
 

Attachments

  • 6386065-b1d9b08351cc340ca659591b16278226.mp4
    21.4 MB
Tena wanavyo fanana labda waseme Babake anasura ya Kizanzibar 🤠🤠

Mana jamaa wahun sn!i lengo lao kuu Tanzania kuwake MOTO 💥💥💥💥💥

sijui watapata faida gani!! mshangao wenyewe bado wana ndugu zao Tanzania Chuki zao zinaenda mpaka kwa
Ndugu zao❗️
Wale ni adui zetu kwa Pamoja✍️
Wajinga sna

USSR
 
wewe ndio hamnazo tena hamnazo kweli kweli.

It is specifically Article 47(3) of the Constitution. It states that a person should be nominated for Vice-President on the basis that if the President comes from one part of the United Republic, the Vice-President should come from the other part of the Union.
Vyawa akili kurukwa na akili ni crucial party of their ritual
 
Back
Top Bottom