LOTH HEMA
JF-Expert Member
- Dec 6, 2015
- 29,814
- 47,414
sijasema deo ni mzanzibari, unasoma content kwa makengezaMgogo wa Dodoma,ni mzanzibari?Tumia akili
sijasema deo ni mzanzibari, unasoma content kwa makengezaMgogo wa Dodoma,ni mzanzibari?Tumia akili
Safi sanaUDINI ni Upumbavu m'baya zaidi
Mfano mwengine mtu kutokea pwani
Afike MWANZA na kuwataka Wasukuma wawachukie watu wa Visiwani Ukerewe
Wkt wale ni Jamaa wamoja Dini moja wamechanganyikana kitambo
Kwa kitambo!!
Sasa uyu mtu wa pwani katika chuki zake za Kidini atafute visabababu vya kuokoteza lkn ivyo ivyo anavifanyia propaganda nyingi kufikia lengo lake!!
Ivyo ndiovo watu kutokea Bara wanavyofanya kwa Wazanzibar kujaribu kuwatenganisha na ndugu zao wa Pwani maeneo ya pwani
Tanga na Pemba Unguja Bagamoyo Dar es Sallam
Awa ni ndugu kabisa wameungana miaka mingi kupitia familia zao kuungana kupitia ndoa nk.
Huwezi kuwatenganisha kivyovyote
Ndio sawa kuwatenganisha watu wa Mwanza na Ukerewe ni vigumu pia
Lkn tatizo linakuja chuki za Wakristo Wachungaj kutokea Bara
Uko walipotoka wamekulia maeneo Ukristo unanguvu sana👈
hawakujua
Kwamba kuna maeneo Tanzania hii napo Uislamu ndio wenye nguvu zaidi ayo maeneo 👈
Sasa wanajibebesha zigo gumu kuwatengenisha kupitia Propaganda za kipumbavu
Mwalimu Nyerere alikuwa mbele ya Muda
Aliliona ili miaka mingi nyuma kwamba huwezi kuvunja muungano kati ya Zanzibar na Bara
Na iyo Bara kubaki Salama
Tanzania inaitegemea Dar es Sallam kwa %75 kwenye mapato yake
Iyo Dar es Sallam
wameungana na ndugu zao wa Zanzibar kwa DAMU
Unategemea kuna Tanganyika apo
Mikoa ya Pwani yote Wananchi wake watataka kubaki na Zanzibar kwa miongozo ya Viongozi wa kislam
Tanganyika ipo apo ‼️‼️
Bado kuelewa pata iyo picha jinsi ilivyo👈
Viongozi wa Kikristo wamewachochea Waumini wao kumchukia RAIS DK SAMIA SULUHU HASSAN kwasababu zao👈
Kwangu mm sitaki kujua Sababu zao kwangu nataka kakwambia ili jambo wameweza kwa %60 kama sio zaidi
Jifunze sasa kumbe Viongozi wa Dini wanaweza kuwaongoza Waumini wao kule watakapo👈
Sasa jiulize tena ilo wamefanya Viongozi wa Kikristo kwa waumini wao👈
JE
Viongozi wa kislam wanashindwa kufanya kitu kama icho icho kuwaunganisha Waislam wote kutokea Zanzibar Tanga Pwani zote
mana kazi yao itakuwa ndogo
Zanzibar inatengwa kwa Sababu za Dini yetu👈
Ndiomana mimi nasemaga ipo siku Wakristo mtakimbia jiji la Dar es Sallam na pwani yote kwa kubeba mfuko wa Rambo tu maana pakupita utakuwa una na chochote‼️
Lengo langu kukumbusha kiakili kile wanafanya Wachungaj na Viongozi wako wa Kikristo kwenye akili yako ni dhambi kubwa👈
WATANZANIA sote tunapaswa kujua hatari ya kuzungumzia Tanganyika kipindi kama ichi ni
hatari sana❌️
Kuliko Mzanzibar kuzungumzia kuvunja muungano wale tushawazoea👈
Wewe wa Bara usimuige
kabisa ❌️
Wewe Mtanganyika kataa popote kwanzia Kanisani kwako kiongozi yoyote mwenye kukuongoza uko uyo hatari kwako 👈
na mustakabali wako na kizazi chako cha leo na cha baadae 👈
Kama Sadaka mpe lkn mwambie
Kiongozi uku sipo❌️
Mkumbushe aya maneno
Kwamba na Viongozi wa kislam wakifanya kama wewe kweli tutakuwa na Taifa la Tanzania uko mbele safari ‼️
Mbona sasa tutafanya juhudi kukata mti nasisi tupo juu yake
Kiongozi umekosa maneno ya Mungu ya kutuunganisha badala ya kututenganisha ‼️‼️‼️
Kuzaliwa wewe muislamu au kuzaliwa wewe ni Mkristo
Kusiwe Sababu ya kuona mwezio ni adui yako
Yeye kazaliwa Muislamu nawewe ivyoivyo umezaliwa Mkristo kwanini muwe adui
Dini yake jina lake kabila lake wewe kinakusumbua nini kwake yeye kubaki vile kazaliwanavyo‼️‼️‼️
KUMBUKA TANZANIA ITAJENGWA NA WATANZANIA WENYE KUTUMIA AKILI ZAO VIZURI KUONA MBALI KUJUA HATARI KABLA YA KUTUFIKIA
Wale wameelewa somo Mungu wetu hawaongoze kwenye kupinga maono ya kutugawa kama Watanzania
Tukaing'oe mbegu mbaya ya Utanganyika FAKE watu wanalengo baya zaidi ya iyo
Tanganyika 👈
tusimama pamoja kupingananao wasitushinde👈
kushindwa kwetu ni kushindwa mustakabali wetu kama Tanzania moja✍️
Huyu ni mgogo mwenzetu,mnaumia sana kuona wagogo tunashika nafasi za juu serekalini mlizoea kila mkimuona omba omba,mnasema ni mgogo sasa mnaumia mtaumia sanasijasema deo ni mzanzibari, unasoma content kwa makengeza
AmenTukifanya masihara anawezakua Rais
Wagogo na sisi tushike nafasi za juuAmen
Safi sanaComments zinachekesha sana
Mmetawala miaka zaidi ya 60 ila bado ni masikini wa kutupwa
Bado tunahangaika na Kabila na dini na asili ya mtu
Latin America kuna nchi 11 zilitawaliwa na wafanya biashara wenye asili ya kiarabu na wao ndio waliwachagua
Tatizo letu hatujui utawala bora
Rais aliepita aliitwa majina ya kila aina
Sijui tunataka mtu wa kutoka wapi atuongoze ili nchi isonge mbele.
Sidhani kama Utanganyika tu ndio unatosha kuongoza nchi
Ni katiba, rais akitoka upande mmoja wa muungano, vp atoke upande mwingine, na kwa Tanzania kipimo cha Utanzania wa mtu ni mmoja wa wazazi wake kuwa Mtanzania, na kwa urais ni awe Mtanzania kwa kuzaliwa. Kuna watu wana data, Abedi Karume hakuzaliwa Zanzibar, alikuja kutoka Malawi, tuhuma za Mtikila kuhusu rais wetu fulani, kuzaliwa Msumbiji akaja Tanzania akiwa na miaka 6 tulizisikia, mwana jf mwenzetu humu, Mkuu britanicca , akatoa data humu za kijana mmoja aliyeitwa Katto, alizaliwa kwa jirani, akaja Tanzania na umri wa miaka 7, akabadili jina na kabila, akasoma Tanzania, akawa rais wetu!. Kwa upande wa kitu kinachoitwa vetting, sisi Tanzania ni nil, ndio maana nilishauri https://www.jamiiforums.com/threads...-asili-halisi-za-viongozi-wetu-wakuu.1406753/Looks like people are trying to Remind us something. if the head is from Zanzibar the second should be from mainland. Am not sure whether its constitutional or Norm.
Kwamba mla urojo yakheeeMpemba mtupu
Sijui kwa nini watu hawaelewi mantiki ya wanaohoji kuwa wanahoji kwa mujibu wa ibara hii ya katiba, na sio ubaguzi.wewe ndio hamnazo tena hamnazo kweli kweli.
It is specifically Article 47(3) of the Constitution. It states that a person should be nominated for Vice-President on the basis that if the President comes from one part of the United Republic, the Vice-President should come from the other part of the Union.
Sio kweliRAISI mzanzibar
Makamu mzanzibar
Wabaya sanaSura zenye asili ya kiarabu hazifai kabisa, hazina utu, hazina ubinadamu...ingekuwa ni nyimbo ningesema machoni kama watu kumbe mbwa mwitu
Kuna dhana nyengine wanafanya propaganda
Kuwa Wazanzibar
ni Wabaguzi sana ❌️
Ukweli ni propaganda ya uwongo
Kwa HOJA
Tunao Wabunge kutokea Bara wameacha kugombea Ubunge Bara wameenda Zanzibar na wakachagula kuwa Wabunge mifano ipo wazi✅️
Kinyume chake watutajie ni Mbunge gani kutokea Zanzibar kaja kugombea Bara na Kuchaguliwa kuwa Mbunge?????????
Sasa kama ni HAKI ni nani Wabaguzi
Apo??????
Ukweli upo wazi Wazanzibar wanawachukia kwa Sababu zengine
Lkn Ubaguzi ni uwongo na propaganda ya ovyo zaidi✍️
Sasa hapo hoja ya mtoa Uzi ni kuwa ikatokea Zanzibar au mama yake ni muarabu?wewe ndio hamnazo tena hamnazo kweli kweli.
It is specifically Article 47(3) of the Constitution. It states that a person should be nominated for Vice-President on the basis that if the President comes from one part of the United Republic, the Vice-President should come from the other part of the Union.
Dah,watu weusi yawezekana ndio watu wabaguzi kuliko, ila hatuonekekani sababu ni masikiniSura zenye asili ya kiarabu hazifai kabisa, hazina utu, hazina ubinadamu...ingekuwa ni nyimbo ningesema machoni kama watu kumbe mbwa mwitu
Milio tayari🤣, ila haiondoi uhalisia wenuKama ulivyo wewe mbwa mwitu,unawajuwa mbwa mwitu wenzako
Hata kupata kitambulisho cha Mzanzibari ni rahisi kwa anayetoka bara kupata kuliko Mpemba.nirahisi zaidi mtu kutoka Bara kushinda ubunge Zanzibar, Lakini siorahisi kabisa Mzanzibari kushinda ubunge Bara
Inasemwa na wewe huwa mnafirika pamoja naye huko huko Kenya! Inashangaza sana Aisee!Na walivyo wapumbavu wanalazimisha kuwa ni muislamu
Kama kale kamalaya kanakofirwa huko kenya kameaandika bila aibu
wewe choxo xumabaako naona unawashwawashwa mxundu.Inasemwa na wewe huwa mnafirika pamoja naye huko huko Kenya! Inashangaza sana Aisee!
Hakuna waarabu mwenye asili ya Tanzania.Mods naomba uzi huu usiungwe kule
Pichani ni Mzee Pancras Mtemi Ndejembi ambaye ndie baba yake na Makamu rais mteule Deogratius John Ndejembi.
Mzee Pancras Mtemi Ndejembi ni moja ya makada wakubwa wa CCM na kiongozi mkongwe wa CCM Mkoani Dodoma Alihudumu kama Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Dodoma kwa miaka 25 kuanzia mwaka 1982 hadi 2007.
Pia aliwahi kuwa Mwenyekiti wa wenyeviti wote wa CCM wa Mikoa ya Tanzania Bara na Visiwani hadi alipong'atuka mwaka 2007.
Mzee Pancras Ndejembi ana asili ya kabila la Gogo (Wagogo), kutokea Mkoani Dodoma, chimbuko la asili yake ni kutokea katika Kijiji cha Mkonze, kilichopo Wilaya ya Dodoma mjini, na hapo ndipo Mzee Pancras Ndejembi alipozikwa baada ya kufariki dunia mwishoni mwa mwaka 2018.
Mama yake na Deogratias Jonh Ndejembi alikuwa ni muarabu mwenye asili ya Tanzania, yaani chotara wa kiarabu kutokea pale kongwa hivyo maujinga ya kumuita kuwa ni mzanzibar ni rohi mbaya,husda,uchimvi ,uchawi na ukigagula kwa taifa letu
Kupotosha ili ionekane ametokea Zanzibar ni mipango ya kuvuruga Muungano wetu ,mshikamano na amani ya taifa letu pedwq
Deo ni mgogo asili kabisa wa Tanzania ,tuwapuuze
USSR
View attachment 3658483